ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Yupo kichaa mmoja, mara kwa mara akipita mitaa ya home huwa kuna nyumba anagonga hodi, kwetu pia huwa anagongaga hodi.
Akija tunampa jero huwa na shukrani sana na kuomba kwa mungu kuwa tubarikiwe. Zile nyumba ambazo hagongi mlango ni zile ambazo huwa akifika hufukuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akija tunampa jero huwa na shukrani sana na kuomba kwa mungu kuwa tubarikiwe. Zile nyumba ambazo hagongi mlango ni zile ambazo huwa akifika hufukuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app