Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Unakuta bado uko team mafisi, huna mke halafu anatokea kichaa mmoja mwenye kila sifa ya kuwa mke...anatabasamu muda wote...tukubaliane ndugu yangu,nawe usingejitia ukichaa ili muwe vichaa wote muyajenge? cc mshana jr