naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Hii labda tumuulize dudu kon. K masterKuna kichaa kutokana na radhi pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii labda tumuulize dudu kon. K masterKuna kichaa kutokana na radhi pia.
Vipi na kichaa cha ndugu yetu kilanja mkuu nasikia nae alishaonja joto ya mawe milembe
Swissme
Simo mieVipi na kichaa cha ndugu yetu kilanja mkuu nasikia nae alishaonja joto ya mawe milembe
Swissme
Nilikutana na kichaa akaniambia
"KWANZA MADEMU WATAKULILIAAA BAADAE WATAKUFAKUFA WEWE UTAWAOKOTA NA KUWARUDISHIA MIA MBILI ZAO"
14yrs passed ila bado hii kauli naikumbuka na sijaipatia maana hata leo.
Mmmh..... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Vipi na kichaa cha ndugu yetu kilanja mkuu nasikia nae alishaonja joto ya mawe milembe
Swissme
Duh ni kama umenikumbusha kitu Mshana mm kwanza hua Nashangaa ile Natural Immune yao ilivyo hata wale nn hua si rahisi kuharisha au kuumwa sasa ilitokea Niko kwenye mgahawa napata chakula Akaja mgonjwa mmoja akaenda kwenye Dustbin anapekua chakula nikamwambia mhudumu kile changu amfungie kwenye foil ampe na soda aende duh yule mgojwa akanipa mkono unaotoka kwenye dustbin ikabidi sina jinsi niupoke kama tunasalimiana kwa kuagana hivi Ebwana wiki nilipata pesa iyo nje kabisa ya kipato changu cha kawaida Naomba sana Jamii tusiwadharau ukihisi unauwezo wa kumsaidia msaidie japo dogo upendo wako hautopotea bure Amini .Naumia sana ninapomuona mtu 'mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa
KUMBUKA! Hawa nao ni binadamu wenye ndugu jamaa na marafiki! Wengine wana watoto... Ni jambo la kijamii linalohitaji tafakuri ya kina kwakuwa ni wachache MNO walizaliwa wakiwa vichaa.... Hujafa hujaumbika!!!!
![]()
Turejee kwenye mada yetu!
Vichaa wako wa aina tofauti wapole waoga wakorofi wababe micharuko nknk.... Yote kwa yote hufanya vitu tofauti na kawaida yaani hutenda kinyume na mazoea
Kuna dunia ya vichaa! Kuna mawasiliano kati yao na vitu tusivyoviona sisi lakini wao wanaviona kusikia na hata kuhisi
Huwa tunasema nut zimelegea ama dish limecheza au tunawaita dakika tatu mbele
Nut zikilegea kwenye gari ama mashine lazima kutatokea sauti za ajabu
Dish likicheza lazima hutapata picha clear
Dakika tatu mbele manake hii ni foreseen.. Yani wanaona kabla ya wakati husika kufika... [emoji15] [emoji144] je hiki ndio chanzo cha uchizi wao?
Wanapokaa na kuongea pekeyao kwa mtazamo wetu... Naamini hawaongei pekeyao bali huwa na mawasiliano na viumbe visivyoonekana kwa macho yetu
Kuna viwango vya ukichaa! Mtu hawezi kuwa kichaa kwa asilimia mia moja! Na ikitokea akawa hivyo hachukui round anakufa
Lazima kuna asilimia za ufahamu hubakishiwa![]()
Ndio maana hasahau kula
Ndio maana mwili ukichoka atapumzika
Ndio maana usiku ukiingia atalala
Ndio maana hachani hela wala kutupa
Ndio maana akivuka barabara lazima achukue tahadhari japo si kwa asilimia mia moja
Ndio maana huhisi kupendwa ama kuchukiwa nknk
Yote kwa yote kuna jambo kubwa nyuma ya vichaa ambalo huwa hatujishughulishi nalo zaidi ya kuwa na mawazo hasi kila tuwaonapo!![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ni kama umenikumbusha kitu Mshana mm kwanza hua Nashangaa ile Natural Immune yao ilivyo hata wale nn hua si rahisi kuharisha au kuumwa sasa ilitokea Niko kwenye mgahawa napata chakula Akaja mgonjwa mmoja akaenda kwenye Dustbin anapekua chakula nikamwambia mhudumu kile changu amfungie kwenye foil ampe na soda aende duh yule mgojwa akanipa mkono unaotoka kwenye dustbin ikabidi sina jinsi niupoke kama tunasalimiana kwa kuagana hivi Ebwana wiki nilipata pesa iyo nje kabisa ya kipato changu cha kawaida Naomba sana Jamii tusiwadharau ukihisi unauwezo wa kumsaidia msaidie japo dogo upendo wako hautopotea bure Amini .
Kama yule mtu wa chatoYeah lakini kwa asilimia za chini... CD4 za ukichaa zikipanda hujitangazi bali unatangazwa