Vichekesho Azam Tv Live

Vichekesho Azam Tv Live

Ticha Mpamire ni mganda lakini anamfahamu Nyungu ya mawe, Kinjekitile Ngwale na Mkwawa...kuna watu wako makini sana na kazi zao na ndio sababu ya wao kuwa bora kuliko wengine!
 
Ticha Mpamire ni mganda lakini anamfahamu Nyungu ya mawe, Kinjekitile Ngwale na Mkwawa...kuna watu wako makini sana na kazi zao na ndio sababu ya wao kuwa bora kuliko wengine!
Yupo vzr sana aisee
 
Hao Azam walizingua tuu,wewe Jembe ManyamaUzembe unampa dakika chache halafu wengine unawapa karibia saa zima.Hakuna haki kabisa.
 
Catarina alikuwa overwhelmed. She is good lakini kwa jana ilikuwa too much kwake.
Teacher Mpimire alikuwa vizuri sana. Ana upeo mkubwa sana na ni nyenzo kwa comedian yeyote
 
Back
Top Bottom