Jamii forumthis is called jamiii whatiii?
Yupo vzr sana aiseeTicha Mpamire ni mganda lakini anamfahamu Nyungu ya mawe, Kinjekitile Ngwale na Mkwawa...kuna watu wako makini sana na kazi zao na ndio sababu ya wao kuwa bora kuliko wengine!
Ticha Mpamire ni mganda lakini anamfahamu Nyungu ya mawe, Kinjekitile Ngwale na Mkwawa...kuna watu wako makini sana na kazi zao na ndio sababu ya wao kuwa bora kuliko wengine!
Hasa msimu huu.....teh tehKumchekesha mtu n ngumu sana aisee, Dah jamaa wanajitahidi