Vichekesho ,CCM haina Makamu Mwenyekiti, wapo busy Kushupalia Lissu ashindwe.

Vichekesho ,CCM haina Makamu Mwenyekiti, wapo busy Kushupalia Lissu ashindwe.

Nandagala One

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
1,913
Reaction score
2,286
Heshima kwenu,
CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda.

Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa Mwenyekiti.
Wakati Toka zamani walitamani Mbowe aondoke.

Cha ajabu Toka KUPOPOLEWA Kinana kwenye umakamu Mwenyekiti CCM, nafasi bado iko wazi,Kuna nini mbona haijazwi??

Mbona wanakuwa wakarimu kuzima moto kwa jirani wakati Kwao unawaka pia????
 
Back
Top Bottom