Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kina jezi mpya,mbuzi kwenye gunia. Wanasema watazindua jezi juu ya kilele cha Mlima KilimanjaroYan hicho kibegi ndio kina jersey mpya au nini? Hawa jamaa mbona vituko sana? Aliyeelewa tafadhali
Wewe ndiye mtu ambaye huelewi hata kinachoongelewa.Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.View attachment 2688785
Mbumbumbu Pro MaxWewe ndiye mtu ambaye huelewi hata kinachoongelewa.
Anyway, sikushangai kwa sababu huna exposure na akili huna kama alivyokwishasema Manara.
Okay, be informed.
Ukipanda mlimani, huendi na mabegi ya matairi. Wala hupandi na shangazi kaja. Hubebi pia mabegi yenu ya send off.
Aina ya begi lililoonyeshwa ndiyo maalum haswa kwa ajili ya kupanda mlimani. Na inapaswa kuwekwa vutu maalum kwa safari husika.
Kwa minajili ya jezi kupelekwa juu ya Mlima Kilimanjaro, basi wamepatia.
Kichekesho ni wewe usiye na uwezo wa kufikiri.
Na wewe ukaona wivu ukaamua utikise masabauri sioBora sisi timetangaza uzinduzi, nyie mlikurupushwa mkaanza tikisa matiti
Ngoja nione mtaishia wapi!🤔Na wewe ukaona wivu ukaamua utikise masabauri sio
Ila nchi hii ukifa Kwa stress umetaka mwenyewe. Wauza Mabegi ya mtumba huwa wanajaza makaratasi ili kuvutia wateja, Sasa unawezaje kuthibitisha kwamba humo ndani kuna jezi na siyo matambala?Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.View attachment 2688785
Hayo ndiyo madhara ya simba kuokota matajiri wawatengenezee jezi zao. Tangu lini sanda ikaweza kutengeza jezi?Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.View attachment 2688785
Hujaelewa halafu unasema kituko, huoni hapo kituko unakuwa ni wewe?Yan hicho kibegi ndio kina jersey mpya au nini? Hawa jamaa mbona vituko sana? Aliyeelewa tafadhali
Kwani wao ndio wametamka kuwa huko ndani kuna jezi au ni speculations zenu tu kwasababu nje wameandika jezi?Ila nchi hii ukifa Kwa stress umetaka mwenyewe. Wauza Mabegi ya mtumba huwa wanajaza makaratasi ili kuvutia wateja, Sasa unawezaje kuthibitisha kwamba humo ndani kuna jezi na siyo matambala?
CAPO DELGADO haya Mambo yakoje ndugu yangu umeshindwa kuishauri menejimenti kuepusha hii aibu kweli?
Na Ahmed Ali naye alivyozuzu kaenda kupokea kibegi kilichojazwa malapulapu eti kimejazwa jezi mpya za simba.Ila nchi hii ukifa Kwa stress umetaka mwenyewe. Wauza Mabegi ya mtumba huwa wanajaza makaratasi ili kuvutia wateja, Sasa unawezaje kuthibitisha kwamba humo ndani kuna jezi na siyo matambala?
CAPO DELGADO haya Mambo yakoje ndugu yangu umeshindwa kuishauri menejimenti kuepusha hii aibu kweli?
Nimeomba kueleweshwa ili kama nitofauti na hicho nachokiona niwatoe kwenye ukituko. Bado ni kituko tuHujaelewa halafu unasema kituko, huoni hapo kituko unakuwa ni wewe?
Huo ukituko unaupataje kwenye kitu ambacho hukielewi?Nimeomba kueleweshwa ili kama nitofauti na hicho nachokiona niwatoe kwenye ukituko. Bado ni kituko tu