Vichekesho kama hivi unaviapata Simba tuu

Mgodo Mgodoki

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
1,399
Reaction score
1,366
Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.
FB_IMG_16894174100725666.jpg
 
Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.View attachment 2688785
Wewe ndiye mtu ambaye huelewi hata kinachoongelewa.

Anyway, sikushangai kwa sababu huna exposure na akili huna kama alivyokwishasema Manara.

Okay, be informed.
Ukipanda mlimani, huendi na mabegi ya matairi. Wala hupandi na shangazi kaja. Hubebi pia mabegi yenu ya send off.

Aina ya begi lililoonyeshwa (crag bag) ndiyo maalum haswa kwa ajili ya kupanda mlimani. Na inapaswa kuwekwa vitu maalum kwa safari husika.

Kwa minajili ya jezi kupelekwa juu ya Mlima Kilimanjaro, basi wamepatia.

Kichekesho ni wewe usiye na uwezo wa kufikiri.
 
Wewe ndiye mtu ambaye huelewi hata kinachoongelewa.

Anyway, sikushangai kwa sababu huna exposure na akili huna kama alivyokwishasema Manara.

Okay, be informed.
Ukipanda mlimani, huendi na mabegi ya matairi. Wala hupandi na shangazi kaja. Hubebi pia mabegi yenu ya send off.

Aina ya begi lililoonyeshwa ndiyo maalum haswa kwa ajili ya kupanda mlimani. Na inapaswa kuwekwa vutu maalum kwa safari husika.

Kwa minajili ya jezi kupelekwa juu ya Mlima Kilimanjaro, basi wamepatia.

Kichekesho ni wewe usiye na uwezo wa kufikiri.
Mbumbumbu Pro Max
 
Ukisikia kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndio huku sasa,hapo kibegi kinaenda Mlima Kilimanjaro kwa uzinduzi.View attachment 2688785
Ila nchi hii ukifa Kwa stress umetaka mwenyewe. Wauza Mabegi ya mtumba huwa wanajaza makaratasi ili kuvutia wateja, Sasa unawezaje kuthibitisha kwamba humo ndani kuna jezi na siyo matambala?
CAPO DELGADO haya Mambo yakoje ndugu yangu umeshindwa kuishauri menejimenti kuepusha hii aibu kweli?
 
Kwani wao ndio wametamka kuwa huko ndani kuna jezi au ni speculations zenu tu kwasababu nje wameandika jezi?
 
Ila nchi hii ukifa Kwa stress umetaka mwenyewe. Wauza Mabegi ya mtumba huwa wanajaza makaratasi ili kuvutia wateja, Sasa unawezaje kuthibitisha kwamba humo ndani kuna jezi na siyo matambala?
CAPO DELGADO haya Mambo yakoje ndugu yangu umeshindwa kuishauri menejimenti kuepusha hii aibu kweli?
Na Ahmed Ali naye alivyozuzu kaenda kupokea kibegi kilichojazwa malapulapu eti kimejazwa jezi mpya za simba.
 
Back
Top Bottom