Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Aisee hauko peke yako. Hizo takwimu ni aibu kwa wapenda michezo wote.Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Hongera kwa washindi.....kura ndio zimeamuaBodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Kuna thread mdau alikuwa anauliza hao wazee wa kwenye bodi ni nani wa kuwaondoa!Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Wazee wa kubalance.Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Hiyo mhabeshi ni tapeli wa soka hana lolote anatembelea nyota ya mafanikio ya vilabu ambayo ni uwekezaji binafsi hana maajabu yoyote.Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Awa Tff na bodi ya Ligi ni majambazi, Hawaoni haya, Wana Kiburi yaani Wana vunja mpaka kanuni zilizo pitishwa na vilabu.Hiyo mhabeshi ni tapeli wa soka hana lolote anatembelea nyota ya mafanikio ya vilabu ambayo ni uwekezaji binafsi hana maajabu yoyote.
Maisha ya kubalance mambo, ndo tifuatifua wajinga sana.Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
7 na 6 ipi ni number kubwa?Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.