Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

Hapo hawajangalia numbers pekee wameangalia ubora waliopanda wachezaji na club hiyo kwa mwezi May kutoka walipokua mpaka walipofikia yanga hajaongeza ubora wowote kwa mwez may ila kamantain uwezo wake ule ule wa kushnda alotoka nao miez ya nyuma
Hatuja kataa at least ungetupa darasa vigezo vilivyo tumika tofauti na numbers
 
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.

Unless umesema vigezo vya ubora inakuwa Haina maana, ujauaje vigezo vya kocha Bora ni kitambi au ukubwa wa suruali anayovaa kocha?
 
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.
Inasemekana katika kipindi hicho, Aziz Ki alipewa kadi ya njano, imempunguzia points. Na Gamondi naye alikuwa na adhabu fulani.
 
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.
Siyo mbaya. Nadhani kuna kalukulesheni zimepigwa Hadi Mwanafunzi aliyepata 85% kumshinda aliyepata 100%.
 
Yanga kuna vilaza wengi wanataka kila kitu wapewe wao sasa hivi wanataka mchezaji bora wa league awe aziz ki kisa ana magoli mengi ndio kinara wa magoli wakati huo kule ulaya phil foden wala sio mfungaji bora lakini kachukua MVP kweli lucky aymel hakukosea kuwaita nyani.
 
Ngoja mtaona maajabu kwenye tuzo. Jinchi la ajabu kweli hili, kila kona siasa tu

Kwa tulio na D 2 hiyo ni alert call kwa Aziz Ki kuwa uchezaji bora wa msimu kwaheri japo anastahili kwa 100%
Taja sababu kwa nini anastahili maana league ya Tanzania ilishakuwa na wafungaji bora huko nyuma ila hawakuwa MVP
 
Nimeamini kupitia huu uzi watanzania wengi hawajui mpira ni bendera fuata upepo hasa mashabiki wa yanga
 
Hapo hawajangalia numbers pekee wameangalia ubora waliopanda wachezaji na club hiyo kwa mwezi May kutoka walipokua mpaka walipofikia yanga hajaongeza ubora wowote kwa mwez may ila kamantain uwezo wake ule ule wa kushnda alotoka nao miez ya nyuma
Wenzako walitaka kwenda ikulu kisa wanaonewa sasa hivi sijui wataenda wapi.
 
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.

Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)

Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.

Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️

◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.

Miguel Gamondi mwezi Mei :

◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.

Aibu naona Mimi.
Bodi ya ligi itakuwa iko likizo ama wameahirisha kufikiri kwa nafsi
 
Back
Top Bottom