ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hatuja kataa at least ungetupa darasa vigezo vilivyo tumika tofauti na numbersHapo hawajangalia numbers pekee wameangalia ubora waliopanda wachezaji na club hiyo kwa mwezi May kutoka walipokua mpaka walipofikia yanga hajaongeza ubora wowote kwa mwez may ila kamantain uwezo wake ule ule wa kushnda alotoka nao miez ya nyuma
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Inasemekana katika kipindi hicho, Aziz Ki alipewa kadi ya njano, imempunguzia points. Na Gamondi naye alikuwa na adhabu fulani.Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Siyo mbaya. Nadhani kuna kalukulesheni zimepigwa Hadi Mwanafunzi aliyepata 85% kumshinda aliyepata 100%.Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.
Na ww unataka MVP awe aziz ki kisa ndio kinara wa ufungaji kweli yanga wenye akili ni wawiliSubirini mtaona vituko kwenye tuzo
Taja sababu kwa nini anastahili maana league ya Tanzania ilishakuwa na wafungaji bora huko nyuma ila hawakuwa MVPNgoja mtaona maajabu kwenye tuzo. Jinchi la ajabu kweli hili, kila kona siasa tu
Kwa tulio na D 2 hiyo ni alert call kwa Aziz Ki kuwa uchezaji bora wa msimu kwaheri japo anastahili kwa 100%
Wenzako walitaka kwenda ikulu kisa wanaonewa sasa hivi sijui wataenda wapi.Hapo hawajangalia numbers pekee wameangalia ubora waliopanda wachezaji na club hiyo kwa mwezi May kutoka walipokua mpaka walipofikia yanga hajaongeza ubora wowote kwa mwez may ila kamantain uwezo wake ule ule wa kushnda alotoka nao miez ya nyuma
Bodi ya ligi itakuwa iko likizo ama wameahirisha kufikiri kwa nafsiBodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️
◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6)
◎ Feisal Salum - ⚽ (5)
Pia bodi imetangaza kuwa, kocha wa Simba SC, Juma Mgunda amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara akimshinda, Miguel Gamondi.
Juma Mgunda mwezi Mei 🎖️
◉ 7 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 1 - Sare.
Miguel Gamondi mwezi Mei :
◉ 6 - Mechi.
◉ 6 - Kushinda.
◉ 0 - Sare.
Aibu naona Mimi.