Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nimevuta picha naskia sauti ya kihindi ikiyajibu hayo yote nimecheka namba 6,7,4,10,8😂Mhindi aliambiwa amalizie methali za
Kiswahili;
1.Nyani haoni:- valise miwani
2.Debe tupu :- weka dengu
3.Maskini akipata :- itaacha iba
jumbani
4.Penye kuku wengi :- Chinja bili au
tatu
5.Asiyesikia la mkuu :- Peleka yeye
polisi
6.Penye wengi :- iko kutano ya CCM
7.Penye fujo :- hapo iko chadema
8.Bandu bandu? :- Baba yake Somji
iko Bombay
9.Simba mwenda pole :- Huyo
naogopa yanga banah
10.Chovya chovya :- mwisho yake
tapata mimba
11.Mficha uchi :- Bado janyoa huyo
🤣Nimevuta picha naskia sauti ya kihindi ikiyajibu hayo yote nimecheka namba 6,7,4,10,8😂
Namba 6 nipo apajamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai.
mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???"
jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Namba 6 nipo apa
Uzi udumu milele
Prayer time