Vichekesho (Special thread)

Vichekesho (Special thread)

Mhindi aliambiwa amalizie methali za
Kiswahili;
1.Nyani haoni:- valise miwani
2.Debe tupu :- weka dengu
3.Maskini akipata :- itaacha iba
jumbani
4.Penye kuku wengi :- Chinja bili au
tatu
5.Asiyesikia la mkuu :- Peleka yeye
polisi
6.Penye wengi :- iko kutano ya CCM
7.Penye fujo :- hapo iko chadema
8.Bandu bandu? :- Baba yake Somji
iko Bombay
9.Simba mwenda pole :- Huyo
naogopa yanga banah
10.Chovya chovya :- mwisho yake
tapata mimba
11.Mficha uchi :- Bado janyoa huyo
 
Mhindi aliambiwa amalizie methali za
Kiswahili;
1.Nyani haoni:- valise miwani
2.Debe tupu :- weka dengu
3.Maskini akipata :- itaacha iba
jumbani
4.Penye kuku wengi :- Chinja bili au
tatu
5.Asiyesikia la mkuu :- Peleka yeye
polisi
6.Penye wengi :- iko kutano ya CCM
7.Penye fujo :- hapo iko chadema
8.Bandu bandu? :- Baba yake Somji
iko Bombay
9.Simba mwenda pole :- Huyo
naogopa yanga banah
10.Chovya chovya :- mwisho yake
tapata mimba
11.Mficha uchi :- Bado janyoa huyo
Nimevuta picha naskia sauti ya kihindi ikiyajibu hayo yote nimecheka namba 6,7,4,10,8😂
 
Jamaa akiwa ametulia beach mzungu akapita akamuliza jamaa "are u relax?
Jamaa hakuelewa akajib No, mzungu mwingine akamuliza vilele akajib No akaona hapa nasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja amekaa akamuliza
"are u relax? Mzungu akajib
"yes"
jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzako.....shenzi, muda wote huo nasumbuliwa kumbe we ndio relax.....🤣
 
Back
Top Bottom