Wanabomoa badala ya kujenga.....Halafu timu zote mbili ndogo zilianzia mechi zao nyumbani kwao....ulitarajia nini pale .....TFF Bure kabisa....Kama ilivyotarajiwa timu za daraja la kwanza, Pamba na Geita Gold zimebaki kule kule baada ya kuvuja jasho na damu ili zipande Ligi Kuu, matokeo yake ukabuniwa mtindo sijui wa wapi eti play-off na timu zilizoshuka Ligi Kuu!!!!! Mwisho wa siku zile za Ligi Kuu zimerudi huko huko badala ya kushuka. TIFUTIFU nyambavu kabisa hii.
ina maana pamba na geita wangeenda kutia aibuKama ilivyotarajiwa timu za daraja la kwanza, Pamba na Geita Gold zimebaki kule kule baada ya kuvuja jasho na damu ili zipande Ligi Kuu, matokeo yake ukabuniwa mtindo sijui wa wapi eti play-off na timu zilizoshuka Ligi Kuu!!!!! Mwisho wa siku zile za Ligi Kuu zimerudi huko huko badala ya kushuka. TIFUTIFU nyambavu kabisa hii.
ina maana pamba na geita wangeenda kutia aibu
Huu mfumo mbovu saaanaKama ilivyotarajiwa timu za daraja la kwanza, Pamba na Geita Gold zimebaki kule kule baada ya kuvuja jasho na damu ili zipande Ligi Kuu, matokeo yake ukabuniwa mtindo sijui wa wapi eti play-off na timu zilizoshuka Ligi Kuu!!!!! Mwisho wa siku zile za Ligi Kuu zimerudi huko huko badala ya kushuka. TIFUTIFU nyambavu kabisa hii.
Kama ilivyotarajiwa timu za daraja la kwanza, Pamba na Geita Gold zimebaki kule kule baada ya kuvuja jasho na damu ili zipande Ligi Kuu, matokeo yake ukabuniwa mtindo sijui wa wapi eti play-off na timu zilizoshuka Ligi Kuu!!!!! Mwisho wa siku zile za Ligi Kuu zimerudi huko huko badala ya kushuka. TIFUTIFU nyambavu kabisa hii.
Sawa kabisa. Ila England play offs ni za kupanda tu toka madaraja ya chini. Aliyeshuka kashuka.Wanabomoa badala ya kujenga.....Halafu timu zote mbili ndogo zilianzia mechi zao nyumbani kwao....ulitarajia nini pale .....TFF Bure kabisa....
Kama walitaka Play off.....basi ingekuwa moja...halafu neutral ground.......hapo matekeo yangekuwa hayana utata.....
Very unfair. Timu itoke daraja la Kwanza ije kucheza playoff na timu ya TPL. Si sawa.Kama ilivyotarajiwa timu za daraja la kwanza, Pamba na Geita Gold zimebaki kule kule baada ya kuvuja jasho na damu ili zipande Ligi Kuu, matokeo yake ukabuniwa mtindo sijui wa wapi eti play-off na timu zilizoshuka Ligi Kuu!!!!! Mwisho wa siku zile za Ligi Kuu zimerudi huko huko badala ya kushuka. TIFUTIFU nyambavu kabisa hii.
Shukrani chief apa nimeelewa kumbe ni sawa tuTimu mbili za juu kwenye ligi daraja la kwanza zinapanda moja kwa moja, na Timu mbili za chini za ligi kuu zinashuka moja kwa moja.huu ndio utaratibu uliokuwepo zamani na mwaka huu umeendelezwa.
Kilichoongezeka ni kwamba tff wameongeza wigo wa timu zingine mbili (iliyoshika nafasi ya 3 na 4) za ligi daraja la kwanza kupanda ligi kama watazifunga timu za ligi kuu zilizoshika nafasi ya 3 na 4 kutoka mkiani.
Kwahiyo ukimaliza nafasi ya 1 na 2 kwenye ligi daraja la kwanza unapanda moja kwa moja ligi kuu, ila ukishika nafasi ya 3 na 4 inabidi ucheze play off kupanda