Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
- Thread starter
- #41
Yaani timu Kagera Sugar na Mwadui wamecheza ligi kuu na la kwanza kwa msimu mmoja na kurudi tena Ligi Kuu.Hata mimi bado sijaielewa tiefuefu yaan uliona wapi timu inashuka ligi uku inakuja chini inacheza mechi mbili inarudi ligi uku tena msimu huu huo daaaah ndio maana kila nikifatilia vya nyumbani ulaya pananivutia narudi