Low kii
New Member
- Jun 6, 2023
- 1
- 2
Mwili wa mwanadamu una viungo mbalimbali muhimu baadhi ya viungo muhimu zaidi ni Ubongo, moyo, mapafu, ini na figo.
Kila kiungo kinafanya kazi kutokana na ufasihi wa kiungo kingine cha mwili ndo vile kusema ukiuma moyo na mwili wote utauma.. kulingana na kichwa cha stori hii kikihusiana na vichochezi vya matumizi ya dawa za kulevya kwa vijana wengi kati ya umri wa miaka 15-25 na 30-40 kisayansi zaidi ni vitu gani haswa vinachochea matumizi ya vitu viletavyo hamu ya matumizi(alostro) kama uvutaji wa kukithiri wa bangi au sigara, utumiaji wa dawa matatizo ya akili pasipo prescription kutoka kwa daktari dawa kama methadone ama diazepam(valiam), matumizi ya ugoro ambayo hii husababisha uharibifu wa CNS uti wa mgongo kwa ujumla kupelekea watumiaji wengi kuwa na hali ya kutetemeka.
Kurudi katika kichwa cha stori yangu je ni vipi vichochezi ndani ya mwili wa mwanadamu vipelekeavyo mtu kuwa na hali ya kuwa mtumiaji aliekithiri wa madawa ya kulevya ama kuwa na tabia yenye muelekeo hasi wa maendeleo ya kiakili, kimwili na kiroho pia kama kushinda kuangalia mitandao ya ngono ipelekeayo mtu kujichua sehemu za siri ama kwa jina lingine ni kupiga punyeto.
Katika Ubongo wa mwanadamu kuna vipokezi vya vichochezi vinavyotengenezwa kutokana na tabia ya mtu ya kila siku akiwa ni mtumiaji wa vitu
Vichochezi hivyo ni kama dopamine na serotonin receptors ambazo zinahusika haswa na utoaji taarifa katika ubongo zikihusika na utoaji taarifa wa hamu na matumaini basi muathirika wa madawa ama mtumiaji wa vitu vyenye alostro atumiapo receptors hizi ndizo huchataka taarifa na kutoa tamko la mwisho kama hisia na mtumiaji asipo tumia madawa ya kulevya ama kuvuta sigara ama kujichua ikiwa ameshaifanya tabia yake receptors hizi hujiongoza zenyewe na kuanza kumpa mawazo mtumiaji kwamba zinahitaji kitu kile akipendacho yeye hata kama hana hamu nacho kwa wakati huo ndo kupelekea vijana wengi kuwa wa athirika wa madawa na kuwa na tabia mbalimbali ziletazo matatizo ya akili na kuwepo kwa vijana wengi wasio na uwezo wa kufikiri chanya na kuwa na uwezo wa kutatua matatizo yanayowakabiri wao wenyewe kwa maana uwezo wa ubongo kufikiri na kutatua mambo umekua mfinyu huku ikiwa mtumiaji huwaza jinsi ya kuiridhisha nafsi yake na si kuikoa roho na akili yake.
Je, ni yapi yafanyike kupunguza na kutatua tatizo hili!?
Kufanya mazoezi ya mwili kila siku
Kusikiliza mziki ukupao afya ya roho zaidi (Dini)
Kujihusisha na mambo mbalimbali ya kufurahisha na kuchekesha hata kama hawayana maana sana
Kuujali mda wako wa kupumzika si chini ya masaa nane
Kula chakula bora( chakula chenye virutubisho mbalimbali ambavyo vitasaidia kurudisha magnesium na micro elements zingine muhimu mwilini na kwenye ubongo kwa ujumla
Kubadilisha mazingira ya kukaa na kuwa na marafiki wazuri
Umuhimu wa kujua athari za uharibifu wa vipokezi vya ufahamu na ujuzi katika ubongo ni upi!?
Unasaidia kuongeza uwezo wa kufikiri chanya na kuwa kumbukumbu nzuri ya matukio ya nyuma
Kugundua lipi ni zuri na lipi ni baya
Kuleta maendeleo ya kibinafsi kijamii na kitaifa kwa ujumla kwa kuongezeka kwa nguvu kazi ya taifa
Kutokomeza magonjwa ya ngono.

Upvote
3