Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Jamani niko ugenini wenyeji wangu wamepika vichoma nguo kabla havijaota miba vikiwa vidogo sana wamekatakata kama mchicha wameunga kwa karanga.
Je nile ni salama kwa afya?
Je nile ni salama kwa afya?