Vichomi baada ya tendo la ndoa

Vichomi baada ya tendo la ndoa

kakakuonana

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
338
Reaction score
61
Habari za asubuhi, natumaini mambo yanaenda sawa.

Mimi nina tatizo la kushikwa na vichomi mara baada ya kufanya mapenzi na mara nyingine kwa ajili ya baridi, hasa maeneo ya tumboni, mbavuni na kwenye maziwa.

Naomba kujua ni nini tatizo asanteni sana.
 
Back
Top Bottom