Vichomi eneo la kifua mbele na mgongoni

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Hii hali Ina wiki Sasa nilienda agakhan kupima moyo wakasema uko ok et ni abdomen pain dozi imeisha ngoma pale pale ,msaada kila saa najiskia vichomi juu ya ziwa la kushoto kupapooza nabonyeza na kidole hapo nilipogusa ndo panachoma mpaka nyuma(pichani)
 
nenda ukafanyiwe vipimo kama ECG ECHO na CXR maana probably ni matatizo ya moyo hayo!! inaweza kua ni Angina ama associated problem!!
 
Wakati mwingine hata vidonda vya tumbo huwa vina dalili hizo, kwa hiyo nenda kacheki navyo pia.
 
Inaweza kuwa Pneumonia hiyo. Kapige x ray.
 
nenda ukafanyiwe vipimo kama ECG ECHO na CXR maana probably ni matatizo ya moyo hayo!! inaweza kua ni Angina ama associated problem!!
nilienda aghakhan wakanipima hivi na kusema niko poa ,wakasema ni abdomen pain lakini dozi imeisha vichimi vimeongezeka
 
Hyo ni naimonia, kuna ndugu yangu nae ilikua inamsumbua tukaenda palestina sinza akahudumiwa ila alikaa wiki nzima anateseka vichomi na kutapika
 
Kwa sisi waswahili ambao bado tunaendeleza asili yawezekana kuwa dalili ya ugonjwa wa chembe.
 
commets za msaada zinatosha, ni wewe tu kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…