VICHWA VYA DARASANI

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,072
Reaction score
1,424
Wakuu huu uzi ninkwa wale wenzangu tuiiowahi kuongoza kwenye mitihani ya shule
kwanzia primaryy hadi advance
Binafsi mimi mwenyewee niliishia la 4 na niliambulia kujuaa kusoma na kuandika tuuh....
Vipiii nyiee kina mshana Jr, Beira boy na bujibuji....
 
aisee.. sasa mweka mada mwenyewe hana sifa za watu anaowataka kwenye huu uzi.. ha ha ha! ngoja nisiache mbachao kwa msala upitao!

mimi nilikuwa naongoza kuanzia chekechea mpaka vidudu hadi kindagaten nikaishia nusary sijui nasari mtajua huko cheti kimeliwa na yale madudu kinyesi yanayosukuma kinyesi sijui hata yalikufumaje A zangu zote zikapukutika.. hebu nipigieni makofi tafadhali
 
Mshana hakuwa kichwa kabisa alikuwa mkimya class pia kichwani hakuwa na kitu labda kwa sasa amekomaa na elimu ya watu wazima
 
duu wewee ndo kilaza hataree mkuuu
 
Mimi nilikuwa kuchwa xana 4m one had 4m four niliongoza darasa lakn baada ya kwenda advance five na six had chuo kikuu ilikuwa balaa nikajiona kuwa nilikuwa naongoza wajinga wenzangu mana navopelekeshwa huko chuo ni balaa
 
Mimi nilikuwa kuchwa xana 4m one had 4m four niliongoza darasa lakn baada ya kwenda advance five na six had chuo kikuu ilikuwa balaa nikajiona kuwa nilikuwa naongoza wajinga wenzangu mana navopelekeshwa huko chuo ni balaa
kumbe ulikiwaa kuchwa!!!! uzi unasema kichwa
 
Mi shule Huwa naenda Mwenge ukija
 
Nimefeli mara nying zaid ya kufaulu, nimeongoza mara chache ila ni kila nikikaribia mwishoni hii ilinisaidia kuvuka daraja na kusonga mbele hatimaye chuo, chuo ufaulu wangu ulikua ni wakawaida, mara moja moja nilikua naongoza kwa baadh ya masomo na kua on Top kabsa, mara chache chache pia nilikua nafeli kwenye masomo hata nisiyodhania(hata yale ambayo nimetoka kuongoza soon), watu weng niliosoma nao hasa o-level na chuo walikua wakiniona kichwa, advance nilionekana wa kawaida kutokana na mziki wa kombi niliyochuku na njemba nilizokutana nazo, mkanganyiko huu umenifanya nikose kukiamini kichwa changu mwenyewe kwenye masuala ya kielimu na kutokukielewa kbsa kama kipoje au kinataka nini na kwa sabb hizo Nilishapata nafas ya sponsorship nikaichomolea kwa hofu ya kuwaangusha walionipa sponsor na jinsi walivyokua na matarajio makubwa kwangu, (This happen only when the world need much from you and you 've few or nothing much to offer).
Mwisho kbsa, SIJAWAH KUFELI PALE NILIPOTAKIWA KUFAULU KWA ULAZIMA ILI MAISHA YA KIELIMU YAENDELEE.
 
Sijawahi kua kichwa Mimi lakini pia sijawahi kufeli shule.

Nimepita kimazabe mazabe sana ila nilitoboa mwanzo mwisho.
 
Nakumbuka vidudu tu ndio nilikuwa jiniaz ,huko mbele hadi fahamu zinirudie itawainbobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…