Nimefeli mara nying zaid ya kufaulu, nimeongoza mara chache ila ni kila nikikaribia mwishoni hii ilinisaidia kuvuka daraja na kusonga mbele hatimaye chuo, chuo ufaulu wangu ulikua ni wakawaida, mara moja moja nilikua naongoza kwa baadh ya masomo na kua on Top kabsa, mara chache chache pia nilikua nafeli kwenye masomo hata nisiyodhania(hata yale ambayo nimetoka kuongoza soon), watu weng niliosoma nao hasa o-level na chuo walikua wakiniona kichwa, advance nilionekana wa kawaida kutokana na mziki wa kombi niliyochuku na njemba nilizokutana nazo, mkanganyiko huu umenifanya nikose kukiamini kichwa changu mwenyewe kwenye masuala ya kielimu na kutokukielewa kbsa kama kipoje au kinataka nini na kwa sabb hizo Nilishapata nafas ya sponsorship nikaichomolea kwa hofu ya kuwaangusha walionipa sponsor na jinsi walivyokua na matarajio makubwa kwangu, (This happen only when the world need much from you and you 've few or nothing much to offer).
Mwisho kbsa, SIJAWAH KUFELI PALE NILIPOTAKIWA KUFAULU KWA ULAZIMA ILI MAISHA YA KIELIMU YAENDELEE.