Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Oct 29, 2010 #21 Mwiba said: Lipumba ashinda kwa asilimia 51. Mamilioni ya kura yamuangukia Lipumba Lipumba kuapishwa usiku Lipumba kutangaza Baraza la Mawaziri. Click to expand... Teh teh na tutamuona sasa mamsap wake... Kama ni Palmolive au honey kikwelikweli
Mwiba said: Lipumba ashinda kwa asilimia 51. Mamilioni ya kura yamuangukia Lipumba Lipumba kuapishwa usiku Lipumba kutangaza Baraza la Mawaziri. Click to expand... Teh teh na tutamuona sasa mamsap wake... Kama ni Palmolive au honey kikwelikweli
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Oct 29, 2010 #22 Gama said: 9. Change has come Click to expand... 10. Chifu mwakalile akimbilia libya.
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Oct 29, 2010 #23 Mkapa na Sumaye wajiunga rasmi CHADEMA
Safina JF-Expert Member Joined Jun 18, 2009 Posts 497 Reaction score 64 Oct 29, 2010 #24 Kishongo said: 9. Ni kikwete tena, apata 75%, kuapishwa kesho. 10. Slaa akubali kushindwa, ampongeza na kumwomba radhi jk. 11. Ccm washinda kiulaiini,.. Ilitarajiwa. Click to expand... 9-11 Itakuwa sio ushindi halali, ushindi halali ni 1-8
Kishongo said: 9. Ni kikwete tena, apata 75%, kuapishwa kesho. 10. Slaa akubali kushindwa, ampongeza na kumwomba radhi jk. 11. Ccm washinda kiulaiini,.. Ilitarajiwa. Click to expand... 9-11 Itakuwa sio ushindi halali, ushindi halali ni 1-8
Gwallo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 3,408 Reaction score 4,392 Oct 29, 2010 #25 Daily news itaandikaje Slaaaaaaa akishinda???????????
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Oct 29, 2010 #26 kiraia said: Natamani siku hiyo nisisikilize chombo chochote cha habari kwani naweza kukivunja either ka hasira au furaha Click to expand... Ukapige kura sasa - ili hiyo siku ukivunje hicho chombo kwa ''furaha''
kiraia said: Natamani siku hiyo nisisikilize chombo chochote cha habari kwani naweza kukivunja either ka hasira au furaha Click to expand... Ukapige kura sasa - ili hiyo siku ukivunje hicho chombo kwa ''furaha''