Elections 2010 Vichwa vya habari 11/01/2010

Elections 2010 Vichwa vya habari 11/01/2010

Lipumba ashinda kwa asilimia 51.
Mamilioni ya kura yamuangukia Lipumba
Lipumba kuapishwa usiku
Lipumba kutangaza Baraza la Mawaziri.

Teh teh na tutamuona sasa mamsap wake...
Kama ni Palmolive au honey kikwelikweli
 
9. Ni kikwete tena, apata 75%, kuapishwa kesho.
10. Slaa akubali kushindwa, ampongeza na kumwomba radhi jk.
11. Ccm washinda kiulaiini,.. Ilitarajiwa.

9-11 Itakuwa sio ushindi halali, ushindi halali ni 1-8
 
Daily news itaandikaje Slaaaaaaa akishinda???????????
 
Natamani siku hiyo nisisikilize chombo chochote cha habari kwani naweza kukivunja either ka hasira au furaha

Ukapige kura sasa - ili hiyo siku ukivunje hicho chombo kwa ''furaha''
 
Back
Top Bottom