Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Tutazimiss burudani kwa kweli,awe akitupia insta angalu tuburudike kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutazimiss burudani kwa kweli,awe akitupia insta angalu tuburudike kidogo
Ikifuatiwa na Maliasili na UtaliiWizara ya Mambo ya ndani awamu hii imekuwa ndio Kichinjio cha Wanasiasa wasaka Urais , Ukiona umepewa hii Wizara jua ndio Bongo star search yako ya Kisiasa
Mkata viuno fundi bwana alitukonga Sana sie watazamajiMkata miuno alivaa dera
Jr[emoji769]
Wataalam wa kubashili3. Tanzanite - Kweli Magufuli dume, amtosa mwanafunzi wake Lugola uwaziri, dunia yatahayari. Benjamin Netanyahu na Malkia Elizabeth wamtumia salamu spesheli kumpongeza. Putin na Trump wamualika dinner kwenye nchi zao kwa wakati tofauti baada ya kumtumbua Lugola.