Vichwa vya habari magazeti ya kesho

UHURU: LISSU AWAKATA MIKIA MAWAZIRI WA SERIKALI NA KUWAFUKUZA ZIZINI
 
Napenda vituko viendelee hivi hivi hadi 2020 alafu Tundu Lissu ajitangaze kugombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chadema......Sijui itakuajee................................................................................!!!!!!!!!, naona kama nyota angani..........................
 
Huenda kesho lisitoke kabsa maana kuna wafunga mandazi wamepanga kuwahi mapema saa 9 usiku wanunue yote wakafungie maandazi , watu wakiamka wakateseka kuyasaka bila mafanikio

Nitalitoa millardayo.com
 
Promotio ya polisi kumkamata imempatia mwanga mkubwa , promo hii ya polis ikiendesha hakika Lisu atakuwa maarufu sana.
 
MZALENDO: MAWAKILI WA SERIKALI WAIBA WAKILI WA T. LISSU.
 
Lissu mwanasheria nguli awapigisha kwata serikali
 
Promotio ya polisi kumkamata imempatia mwanga mkubwa , promo hii ya polis ikiendesha hakika Lisu atakuwa maarufu sana.
Kila kona ni Tundu Lissu tu!, ha ha haaaah.......kichwa adimu sana kile
 
Kesho gazeti la uhuru tupo mbioni kuhamia Dodoma kabla ya rahisi
 
ANGALIZO KWA MWENENDO HUU DODOMA HAKUENDEKI,LISSU KAKAMATWA SINGIDA KALETWA DAR KWELI?
CCM KILA WASIKIAPO UKUTA WANAOGOPA UTAWAANGUKIA ,HII VITA SIO YA KITOTO NAONA SEPT MOSI INAJONGEA KWA KASI MAANA UKUTA ULIZINDULIWA JULY 29,LEO AUG 05,NITAJUMUIKA NA UKUTA ILI TULIANGUKIE TINGATINGA LINALOENDESHWA NA DEREVA ALIYELEWA SIFA ZA SPEED YA MWENDOKASI...LISSU NI SHUJAA,SOMENI KUSOMA RAHA BILA KUSOMA LISSU ALIKUWA HACHOMOKI KISUTU LEO MAANA KIBATALA ALIKATAZWA,LISSU SIO MUOGA MH.MAGUFULI AJIANDAE KUISOMA NAMBA UKUTANI KUANZIA SEPTEMBA MOSI,UVCCM KAENI PEMBENI HII VITA SIO YENU HII NI KATI YA BAVICHA NA VIONGOZI WAO KITAIFA.UVCCM MKIINGIZA MKUU TU IMEKULA KWENU MTAVISHWA MAGWANDA YA CHADEMA NA NYINYI NDANI NA HUU NDIO MKAKATI WA KUWAUMIZA UVCCM.
 
UHURU WAKIMUANDIKA LISSU;NAPE ANATANGAZA KULIFUNGIA GAZETI HILI KESHO HIYO HIYO
 


RC SIMIYU: Maandamano UKUTA marufuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…