Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda kesho lisitoke kabsa maana kuna wafunga mandazi wamepanga kuwahi mapema saa 9 usiku wanunue yote wakafungie maandazi , watu wakiamka wakateseka kuyasaka bila mafanikioNitajitahidi asubui sana nilete picha ya gazeti la Uhuru hapa
Huenda kesho lisitoke kabsa maana kuna wafunga mandazi wamepanga kuwahi mapema saa 9 usiku wanunue yote wakafungie maandazi , watu wakiamka wakateseka kuyasaka bila mafanikio
Promotio ya polisi kumkamata imempatia mwanga mkubwa , promo hii ya polis ikiendesha hakika Lisu atakuwa maarufu sana.Napenda vituko viendelee hivi hivi hadi 2020 alafu Tundu Lissu ajitangaze kugombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia Chadema......Sijui itakuajee................................................................................!!!!!!!!!, naona kama nyota angani..........................
Wataliwahi kabla hajalipiga pichaNitalitoa millardayo.com
Wataliwahi kabla hajalipiga picha
Kila kona ni Tundu Lissu tu!, ha ha haaaah.......kichwa adimu sana kilePromotio ya polisi kumkamata imempatia mwanga mkubwa , promo hii ya polis ikiendesha hakika Lisu atakuwa maarufu sana.
Hahahahaha shahidi namba moja.MZALENDO: MAWAKILI WA SERIKALI WAIBA WAKILI WA T. LISSU.
Tukipewa pumzi inshallahNitajitahidi asubui sana nilete picha ya gazeti la Uhuru hapa
Tanzania Daima: Lissu Awafundisha Sheria Mawakili Wa Serikali.
NIPASHE: Kibatala Tishio, Mawakili Wa Serikali Wamgwaya.
MWANANCHI:Nchi Yasimama Kusikiliza Kesi Ya Tundu Lissu
MTANZANIA: Lissu Ni Noma, Apangua Hoja Za Serikali, Hakimu Amkubali.
Je! Gazeti la UHURU litaandika nin? Wadau tubashiri.