Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

FYI, We have floated a tender for 25 SGR horses and wagons. These are two separate business. Dont confuse the deals for meter gauge and those of SGR.
 
Hiyo mivichwa kwani inasehemu ya kupachikia umeme wa mwendo kasi,au ni lizevu injini ikiwa Umeme utakatika?
 
..huu UONGO ni maagizo kutoka juu.

..mambo mengi nchi hii yanaharibika kutokana na tabia za hovyo-hovyo za mtu mmoja.

..engine za train zilinunuliwa na serekali ya Kikwete.

..taarifa za tender kuwa awarded zilitoka ktk majarida mbalimbali yanayofuatilia miradi/tender za mashirika ya reli duniani.

..sasa tangu mtu mmoja aseme UONGO kwamba engine za treni zimejileta Tz kila aliye chini yake is going along with the lie.


..Vichwa vya train ni mitambo ya gharama kubwa sana. Haiwezekani kampuni ikaunda vichwa hivyo bila kuwa na makubaliano maalum baina ya muundaji na mnunuzi.
 
Tatizo la kuwa na Serikali iliyojaa vilaza hata wanapofungua vinywa vyao hawajui nini wanachoongea. Huyu mburula kaadhirika sana leo kwa kuongea pumba za hali ya juu.

Kwa hiyo watayafanyia marekebisho hayo magurudumu ili yaendane na SGR?
 
BWAHAHAHAHA!!! Niliambia watu humu hizi kelele ni za Geza na Fast Jet hawakuskia.
 
Those engines r meant for narrow gauge rail in design. Prof. Mbarawa clearly explained how they will be used in our old railway that needs around 50 locomotives.
Wanajipa mwoyo. Hizo vichwa niza meter gage
 
Hv nyie waandishi mbona hamuulizagi hvyo vichwa ni vya nani?
 
Taarifa sijaandika mimi, nimekuewekea na link kabisa ambapo waziri wenu amenukuliwa akisema atayaburuza yatumike kwenye SGR, sasa nimeuliza tu swali mtafanikisha vipi.
Kwanza na wewe jiongeze hizo diesel engines wakati SGR niya umeme. Hapo iĺikuwa nipesa inapigwa na serikali lakini sio kutumika na SGR. Kiufupi vichwa vipo kazinï vinafanya kwenye meter gage naki moja kilianguka juzi kati
 
Hakuna sehemu alipotaja kuwa vitatumika kwenye SGR kipindi anatoa taarifa ya vichwa
 
Taarifa sijaandika mimi, nimekuewekea na link kabisa ambapo waziri wenu amenukuliwa akisema atayaburuza yatumike kwenye SGR, sasa nimeuliza tu swali mtafanikisha vipi.
Huu wivu sio wa kawaida mpaka mnatia aibu. Mimi mwenyewe tulisha ongea haya mambo na nikakuwekea hizi picha ambazo zilipigwa tokea 2015 na ni za zamani. Namba ya treni zilizo bandarini hivi sasa sio sawa na treni zilizo kwenye picha hii, lakini kwasababu siku hizi kuna ukame wa habari nzuri nzuri Kenya mna anza kuleta habari za kupika.

Terehe hapa chini inajionyesha.
MICHUZI BLOG: JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini
 
Hii nchi mbona vituko vinazidi??? Eti tumeshaongea na mmiliki wa Vichwa dahh yaani hata mtu mwenye taahira ya akili anaweza kutambua uongo wa kitoto hivi. Nani aliyeleta hivyo Vichwa kama sio serikali yenyewe. Mtu binafsi alete vichwa vya treni 13 avipeleke wapi au siku hizi treni zinatembea barabarani?

Kuweni na huruma na raia jamani yaani mmewageuza misukule kabisa yaani hawajui A wala B. Hii dhana kwamba No. 1 hakosei itatupeleka pabaya na mtapoteza credibility zenu kwa vitu vidogo prof mzima unajiaibisha bila sababu. Si mrekebishe tu kuwa taarifa sahihi ni hivi ya kwanza ilitolewa kimakosa? Yeye ni mwanadamu sio malaika kukosea ni kawaida. Tumalize ili tusonge mbele.

mtaendelea kuvikana hivyo vichwa mpaka lini eti tutaongea na mmiliki kisha tutavimiliki. Vichwa vya treni hutengenezwa kwa oda maalum havitengenezwi kwa kubahatisha kama magari vikikamilika atafutwe mnunuzi. Hakuna mtu binafsi wa kuagiza Vichwa vyote hivyo alafu ategemee reli ya serikali kwanza nani atakubali ujuha huo wa biashara kichaa kama hiyo. Kichwa cha treni ni billions of money alafu mtu binafsi aagize vichwa 13 kisha avikimbie dahh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa sielewi wala kupata picha, mtatumiaje haya mavitu yaliyotelekezwa bandari ya Dar, kwenye SGR hiyo ambayo mumeinadi kama itakayokua ya bullet trains.

stranded_engine_trains_at_dar_port_to_be_taken_into_sgr_project_h13870_6fed0.jpg


By Azania Post Reporter

THIRTEEN engine trains which was stranded at the Dar es Salaam Port will now be introduced to the Standard Gauge Railway project once start operations , the Minister for Works and Transport, Prof Makame Mbarawa has said.

Speaking from Bagamoyo where he opened the Tanzania Ports Authority (TPA) meeting, Minister Mbarawa said already the government has talked with the owner of the said engine trains.

“We have already talked with the owner of the engine trains now it will belong to the government where we expect to send them to the SGR,” he said.

However, Minister Mbarawa said the engine trains were not stranded at the port since the owner was already known.

It is anticipated when completed the SGR project will introduce a fast and modern train with a speed of 160kph while the freight train will have a top speed of 120kph.

The project is being undertaken by Yapi Merkez Insaat Ve Sanayi of Turkey and Mota-Engil, Engenharie and Construcao Africa, SA of Portugal.

Stretching 1,057km from Dar es Salaam to the shores of Lake Victoria, the SGR will be constructed on the same line with the Central Railway Line built by Germans in 1905 from Dar es Salaam to Kigoma and Mwanza

In its plans to revive rail transport through the SGR, the government has tabled a Bill before the parliament seeking to form the Tanzania Railway Corporation (TRC) that will replace the Reli Assets Holding Company (Rahco) and Tanzania Railway Ltd (TRL).

The two companies were formed 20 years ago after the government privatised the TRC to form two independent firms.

Speaking after made an impromptu visit head quarters of the Prevention and Combatting of Corruption Bureau (PCCB) in Dar es Salaam, President Dr. John Magufuli said some locomotives lying idle at the port of Dar es Salaam were imported without any written contract.

Dr Magufuli made the revelations after he made an, where he also expressed his confidence in the bureau in curbing graft and pledged to address challenges facing them.

Although President Magufuli did not go into details in regard to the train engines, he is on record as tasking security organs to probe persons behind the ‘dumped’ train engines – from which the Tanzania Railway Limited (TRL) had since distanced itself.

Reports show that the locomotives were offloaded from an ocean-going vessel, Mesina Line, but no one had since come out to declare ownership.

Azania Post
Stranded engine trains at Dar port to be taken into SGR project
Kumbe magari yamenunuliwa lkn barabara ndo bado.....

Vyema vikaguliwe kama vipo kistandadi
NGAI FAFA!!!
qt0kgmnhg7lg9h6nr8js
I yaff die!
Hahahaha Hahahaha bullet train loading....
ona vile hizo MAVITU zinakaa mbaya kama sijui nini. Na huku wenzetu walikua wanaongea matope kuhusu treni zetu. Imekula kwenu leo
KUTUMIA HIVYO VICHWA KWNYE SGR SIYO TATIZO MAANA VITABEBA MIZIGO NA HAMNA TATIZO
Waziri Mbarawa akieleza matumizi ya hivyo vichwa kwenye Meter Gage kipindi alipokuwa akizindua ufufuaji wa Meter Gage kutoka Tanga to Kilimanjaro, Moshi hadi Arusha. Vichwa vya bandarini vitaongeza idadi ya vichwa vya meter gage. Huku tunajenga SGR lakini pia tuna fufua meter gage. VIVA Magufuli
 
Huu wivu sio wa kawaida mpaka mnatia aibu. Mimi mwenyewe tulisha ongea haya mambo na nikakuwekea hizi picha ambazo zilipigwa tokea 2015 na ni za zamani. Namba ya treni zilizo bandarini hivi sasa sio sawa na treni zilizo kwenye picha hii, lakini kwasababu siku hizi kuna ukame wa habari nzuri nzuri Kenya mna anza kuleta habari za kupika.

Terehe hapa chini inajionyesha.
MICHUZI BLOG: JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini

Mbona mumepanic na kutumia nguvu nyingi hivi, hehehe hadi raha.
Gazeti la Azania post ni la Kenya?? Umekwenda kuokoteza liblog..
 
Mbona mumepanic na kutumia nguvu nyingi hivi, hehehe hadi raha.
Gazeti la Azania post ni la Kenya?? Umekwenda kuokoteza liblog..
Sasa wewe umeona tuu ukakurupuka ukaweka bandiko bila kujuwa ukweli. Mimi nimekuwekea ukweli na sio mara ya kwanza kukuwekea ukweli hapa.
 
Hahahah kwa hiyo na nyie mliamini kabisa CCM watawaletea bullet train [emoji581][emoji23] Labda missile train[emoji38]
 
Back
Top Bottom