Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 292
- 433
Hivi ni baada ya kuletwa toka ng'ambo kikatumika mpaka kikapata ajari, au baada ya kupata ajari ndio kikawekwa bandarini kama kipya toka ng'ambo?![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]View attachment 711321 Kwa faida yako tuu
Kwa hiyo watayafanyia marekebisho hayo magurudumu ili yaendane na SGR?
Wanajipa mwoyo. Hizo vichwa niza meter gageThose engines r meant for narrow gauge rail in design. Prof. Mbarawa clearly explained how they will be used in our old railway that needs around 50 locomotives.
Kwanza na wewe jiongeze hizo diesel engines wakati SGR niya umeme. Hapo iĺikuwa nipesa inapigwa na serikali lakini sio kutumika na SGR. Kiufupi vichwa vipo kazinï vinafanya kwenye meter gage naki moja kilianguka juzi katiTaarifa sijaandika mimi, nimekuewekea na link kabisa ambapo waziri wenu amenukuliwa akisema atayaburuza yatumike kwenye SGR, sasa nimeuliza tu swali mtafanikisha vipi.
Haviwezi tumika kwenye SGR. Kiufupi vipo kazini. Walikuwa wanapiga pesa hapoKUTUMIA HIVYO VICHWA KWNYE SGR SIYO TATIZO MAANA VITABEBA MIZIGO NA HAMNA TATIZO
ACHA UBISHIHaviwezi tumika kwenye SGR. Kiufupi vipo kazini. Walikuwa wanapiga pesa hapo
Mbona haviendani na picha ya ajali au chenyewe kilipakiwa juu maana behewa zilizoachia chenyewe kipo katikatiView attachment 711321 Kwa faida yako tuu
Ubishi upi nimeshaweka na mazungumzo ya waziriACHA UBISHI
Huu wivu sio wa kawaida mpaka mnatia aibu. Mimi mwenyewe tulisha ongea haya mambo na nikakuwekea hizi picha ambazo zilipigwa tokea 2015 na ni za zamani. Namba ya treni zilizo bandarini hivi sasa sio sawa na treni zilizo kwenye picha hii, lakini kwasababu siku hizi kuna ukame wa habari nzuri nzuri Kenya mna anza kuleta habari za kupika.Taarifa sijaandika mimi, nimekuewekea na link kabisa ambapo waziri wenu amenukuliwa akisema atayaburuza yatumike kwenye SGR, sasa nimeuliza tu swali mtafanikisha vipi.
Hapa sielewi wala kupata picha, mtatumiaje haya mavitu yaliyotelekezwa bandari ya Dar, kwenye SGR hiyo ambayo mumeinadi kama itakayokua ya bullet trains.
By Azania Post Reporter
THIRTEEN engine trains which was stranded at the Dar es Salaam Port will now be introduced to the Standard Gauge Railway project once start operations , the Minister for Works and Transport, Prof Makame Mbarawa has said.
Speaking from Bagamoyo where he opened the Tanzania Ports Authority (TPA) meeting, Minister Mbarawa said already the government has talked with the owner of the said engine trains.
“We have already talked with the owner of the engine trains now it will belong to the government where we expect to send them to the SGR,” he said.
However, Minister Mbarawa said the engine trains were not stranded at the port since the owner was already known.
It is anticipated when completed the SGR project will introduce a fast and modern train with a speed of 160kph while the freight train will have a top speed of 120kph.
The project is being undertaken by Yapi Merkez Insaat Ve Sanayi of Turkey and Mota-Engil, Engenharie and Construcao Africa, SA of Portugal.
Stretching 1,057km from Dar es Salaam to the shores of Lake Victoria, the SGR will be constructed on the same line with the Central Railway Line built by Germans in 1905 from Dar es Salaam to Kigoma and Mwanza
In its plans to revive rail transport through the SGR, the government has tabled a Bill before the parliament seeking to form the Tanzania Railway Corporation (TRC) that will replace the Reli Assets Holding Company (Rahco) and Tanzania Railway Ltd (TRL).
The two companies were formed 20 years ago after the government privatised the TRC to form two independent firms.
Speaking after made an impromptu visit head quarters of the Prevention and Combatting of Corruption Bureau (PCCB) in Dar es Salaam, President Dr. John Magufuli said some locomotives lying idle at the port of Dar es Salaam were imported without any written contract.
Dr Magufuli made the revelations after he made an, where he also expressed his confidence in the bureau in curbing graft and pledged to address challenges facing them.
Although President Magufuli did not go into details in regard to the train engines, he is on record as tasking security organs to probe persons behind the ‘dumped’ train engines – from which the Tanzania Railway Limited (TRL) had since distanced itself.
Reports show that the locomotives were offloaded from an ocean-going vessel, Mesina Line, but no one had since come out to declare ownership.
Azania Post
Stranded engine trains at Dar port to be taken into SGR project
Kumbe magari yamenunuliwa lkn barabara ndo bado.....
Vyema vikaguliwe kama vipo kistandadi
NGAI FAFA!!!I yaff die!
Hahahaha Hahahaha bullet train loading....
ona vile hizo MAVITU zinakaa mbaya kama sijui nini. Na huku wenzetu walikua wanaongea matope kuhusu treni zetu. Imekula kwenu leo
Waziri Mbarawa akieleza matumizi ya hivyo vichwa kwenye Meter Gage kipindi alipokuwa akizindua ufufuaji wa Meter Gage kutoka Tanga to Kilimanjaro, Moshi hadi Arusha. Vichwa vya bandarini vitaongeza idadi ya vichwa vya meter gage. Huku tunajenga SGR lakini pia tuna fufua meter gage. VIVA MagufuliKUTUMIA HIVYO VICHWA KWNYE SGR SIYO TATIZO MAANA VITABEBA MIZIGO NA HAMNA TATIZO
Huu wivu sio wa kawaida mpaka mnatia aibu. Mimi mwenyewe tulisha ongea haya mambo na nikakuwekea hizi picha ambazo zilipigwa tokea 2015 na ni za zamani. Namba ya treni zilizo bandarini hivi sasa sio sawa na treni zilizo kwenye picha hii, lakini kwasababu siku hizi kuna ukame wa habari nzuri nzuri Kenya mna anza kuleta habari za kupika.
Terehe hapa chini inajionyesha.
MICHUZI BLOG: JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini
Sasa wewe umeona tuu ukakurupuka ukaweka bandiko bila kujuwa ukweli. Mimi nimekuwekea ukweli na sio mara ya kwanza kukuwekea ukweli hapa.Mbona mumepanic na kutumia nguvu nyingi hivi, hehehe hadi raha.
Gazeti la Azania post ni la Kenya?? Umekwenda kuokoteza liblog..