Unajua hiyo blog unayoibeza ya Issa Michuzi ni ya nani? Kwa taarifa yako ni ya mpiga picha wa Ikulu. Wewe ndio umeleta kijiwavuti uchwara ambacho huenda ni chako pia.Mbona mumepanic na kutumia nguvu nyingi hivi, hehehe hadi raha.
Gazeti la Azania post ni la Kenya?? Umekwenda kuokoteza liblog..
Sasa wewe umeona tuu ukakurupuka ukaweka bandiko bila kujuwa ukweli. Mimi nimekuwekea ukweli na sio mara ya kwanza kukuwekea ukweli hapa.
Hoja yangu hapa ni ya kuleta taarifa za uwongo sio kuchambuwa uwongo. Usijifiche nyuma ya taarifa za uwongo na kulazimisha watu wajadili vitu visivyo vya kweli. Leta mijadala ya ukweli watu wajadili kama vile eurobonad imepotea au serikali ya Kenya imeishiwa pesa nk.Taarifa nimezileta kama zilivyo, la kuamini au kutokuamini ni pale wachangiaji watabishana kwa hoja, kunao wachangiaji humu akina Jokakuu na Bak umewakwepa huwajibu umetafuta pa kukimbilia kwa kuburuza blog.
Hizi ni bongo movie zilizoanzia bandarini,zitapotea kama kishika uchumba cha makinikiahivi si vilionekana kwa namba hizohizo vimeanguka kigoma au sio hivi, na kwani hivyo vinatumia umeme au mafuta?
Hoja yangu hapa ni ya kuleta taarifa za uwongo sio kuchambuwa uwongo. Usijifiche nyuma ya taarifa za uwongo na kulazimisha watu wajadili vitu visivyo vya kweli. Leta mijadala ya ukweli watu wajadili kama vile eurobonad imepotea au serikali ya Kenya imeishiwa pesa nk.
Hii ni kama ile ya watanzania wanakula panya, bila hata ya kuelewa taarifa yenyewe ukakimbilia kufungua uzi. Nadhani JF waanze kufikiria jinsi ya kutoza watu hela kufunguwa uzi. Itapunguza hizi nyuzi za kudanganya umma.Taarifa huandikwa kwenye magazeti tunazileta zijadiliwe, sasa kwenye kujadili ndio utatuaminisha kama ni za uwongo au hapana. Ukiogopa na kukwepa huku ukipiga makelele eti ni za uwongo, hiyo haitatosha kutetea hao wakuu wako.
Hii ni kama ile ya watanzania wanakula panya, bila hata ya kuelewa taarifa yenyewe ukakimbilia kufungua uzi. Nadhani JF waanze kufikiria jinsi ya kutoza watu hela kufunguwa uzi. Itapunguza hizi nyuzi za kudanganya umma.
Hahahaaaaona vile hizo MAVITU zinakaa mbaya kama sijui nini. Na huku wenzetu walikua wanaongea matope kuhusu treni zetu. Imekula kwenu leo
Hii ndio madhara ya kuwa na Short mindNyuzi zitafunguliwa tu ilmradi taarifa zipo kwenye magazeti, mkitaka zisifunguliwe, kuweni wakweli na kuacha figisu.
Tanzania hakuna gazeti linaitwa Azania post. Ukilipata ni tag pleaseMbona mumepanic na kutumia nguvu nyingi hivi, hehehe hadi raha.
Gazeti la Azania post ni la Kenya?? Umekwenda kuokoteza liblog..
Mkikuyu uliyekosa matunzo pitia YouTube video hapaHahahah kwa hiyo na nyie mliamini kabisa CCM watawaletea bullet train [emoji581][emoji23] Labda missile train[emoji38]
Tatizo watu awajui maana ya sgr vichwa ya treni isiyo sgr aviwezi kufiti kwenye sgr tena ya umemeKwa hiyo watayafanyia marekebisho hayo magurudumu ili yaendane na SGR?
Wakenya huwa ni matairaTatizo watu awajui maana ya sgr vichwa ya treni isiyo sgr aviwezi kufiti kwenye sgr tena ya umeme
Mkikuyu ana panic. Anatulisha porojo za Azania Post alafu anadai eti ni gazeti huku Tanzania. Dunia simama nishukeHiyo mivichwa kwani inasehemu ya kupachikia umeme wa mwendo kasi,au ni lizevu injini ikiwa Umeme utakatika?
Jipe moyo. Muda simrefu train za umeme zinakuja. Tatizo lenu wakikuyu huwa mnakurupuka hovyoBWAHAHAHAHA!!! Niliambia watu humu hizi kelele ni za Geza na Fast Jet hawakuskia.
Mbona leo una machungu sana hivi? Au ni hizi train sura mbaya ndio zimekushtua kutoka usingizini?Hiyo ndiyo inajulikana kama desperation ya hali ya juu sana, ni sawa na mtu kukuambia amenunua kichwa cha train kitakachokua na uwezo wa kuruka angani, bila hata kujiuliza ukakubali na kuanza kutangaza hadharani, sasa vichwa hivyo upana wake ni mita moja, vitawezaje kutumika katika SGR?, au hujui tofauti ya metre gage na SGR?, au mambo yamekuwa magumu katika uwanja wa vita kila unachoona mbele yako unadhani ni silaha itakusaidia kushinda vita?
Kukudhalilisha kwa kukuumbua hadharani kutokana na kutotumia akili ndiko unakukuita machungu?, huoni kwamba unajidhalilisha kwa kusema locomotive za meter gauge zitatumika katika reli ya SGR, mtu mzima akivuliwa nguo hadharani huwa anachuchumaa haendelei kusimama.Mbona leo una machungu sana hivi? Au ni hizi train sura mbaya ndio zimekushtua kutoka usingizini?
Kama hujui kitu kaa kimya kima weweHapa sielewi wala kupata picha, mtatumiaje haya mavitu yaliyotelekezwa bandari ya Dar, kwenye SGR hiyo ambayo mumeinadi kama itakayokua ya bullet trains.
By Azania Post Reporter
THIRTEEN engine trains which was stranded at the Dar es Salaam Port will now be introduced to the Standard Gauge Railway project once start operations , the Minister for Works and Transport, Prof Makame Mbarawa has said.
Speaking from Bagamoyo where he opened the Tanzania Ports Authority (TPA) meeting, Minister Mbarawa said already the government has talked with the owner of the said engine trains.
“We have already talked with the owner of the engine trains now it will belong to the government where we expect to send them to the SGR,” he said.
However, Minister Mbarawa said the engine trains were not stranded at the port since the owner was already known.
It is anticipated when completed the SGR project will introduce a fast and modern train with a speed of 160kph while the freight train will have a top speed of 120kph.
The project is being undertaken by Yapi Merkez Insaat Ve Sanayi of Turkey and Mota-Engil, Engenharie and Construcao Africa, SA of Portugal.
Stretching 1,057km from Dar es Salaam to the shores of Lake Victoria, the SGR will be constructed on the same line with the Central Railway Line built by Germans in 1905 from Dar es Salaam to Kigoma and Mwanza
In its plans to revive rail transport through the SGR, the government has tabled a Bill before the parliament seeking to form the Tanzania Railway Corporation (TRC) that will replace the Reli Assets Holding Company (Rahco) and Tanzania Railway Ltd (TRL).
The two companies were formed 20 years ago after the government privatised the TRC to form two independent firms.
Speaking after made an impromptu visit head quarters of the Prevention and Combatting of Corruption Bureau (PCCB) in Dar es Salaam, President Dr. John Magufuli said some locomotives lying idle at the port of Dar es Salaam were imported without any written contract.
Dr Magufuli made the revelations after he made an, where he also expressed his confidence in the bureau in curbing graft and pledged to address challenges facing them.
Although President Magufuli did not go into details in regard to the train engines, he is on record as tasking security organs to probe persons behind the ‘dumped’ train engines – from which the Tanzania Railway Limited (TRL) had since distanced itself.
Reports show that the locomotives were offloaded from an ocean-going vessel, Mesina Line, but no one had since come out to declare ownership.
Azania Post
Stranded engine trains at Dar port to be taken into SGR project