Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

Taarifa sijaandika mimi, nimekuewekea na link kabisa ambapo waziri wenu amenukuliwa akisema atayaburuza yatumike kwenye SGR, sasa nimeuliza tu swali mtafanikisha vipi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa itawezekana vipi wakati SGR 1.4 Metres na izo ni Metre gauge 1 metres length au kuna uchawi utatumika
 
Acha nyege mshindo wewe boya, hivyo ni vya meter gauge na sio SGR

Speaking from Bagamoyo where he opened the Tanzania Ports Authority (TPA) meeting, Minister Mbarawa said already the government has talked with the owner of the said engine trains.

β€œWe have already talked with the owner of the engine trains now it will belong to the government where we expect to send them to the SGR,” he said.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa itawezekana vipi wakati SGR 1.4 Metres na izo ni Metre gauge 1 metres length au kuna uchawi utatumika
kumuulize huyu.....
Speaking from Bagamoyo where he opened the Tanzania Ports Authority (TPA) meeting, Minister Mbarawa said already the government has talked with the owner of the said engine trains.

β€œWe have already talked with the owner of the engine trains now it will belong to the government where we expect to send them to the SGR,” he said.
 
Why are you this dumbest? Seems like you have no idea what is going, take your time here
 
Nyege zinawasumbua sana nyinyi watu, haya msikilize Mbarawa mwenyewe huyu hapa;
 
Apo atakua kati ya mwandishi au Waziri mmoja kajichanganya. Au huyu aliepost humu jf Ame edit.
 
second phase, all electrified
 
Umeamua kuokota habari kwenye viwebsite uchwara ili kujifurahisha. Injini za narrow gauge zitatumika vipi kwenye SGR? [HASHTAG]#Nonsense[/HASHTAG]
Usimlaumu. Kwani si kweli serikali yetu imeshaanza kutumia vichwa hivyo? Waswahili tunasema kama huwezi kusoma hata picha huoni? Sasa reli ya SGR ikimalizika watavipeleka wapi? Such myopic decision!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…