Vichwa vya treni vilivyotupwa Dar, kutumika kwenye SGR ya Tanzania

Mk254 acha kamba wewe,hivyo vichwa vinatumika kwenye meter gauge(reli ya zamani).SGR ndio imetangazwa tender ya kununua hivyo vichwa pamoja mabehewa ya abiria,mizigo,mafuta na mengineyo.
Kama hujui uulize sio kukurupuka.
 
Mwenyewe hatajwi popote. Ni bahati mbaya ama makusudi?
 
Hilo diesel locomotive ndio litumike kwenye SGR.....??? Hii nchi viongozi wanaugua kichaa si bure..:::

Inamaana sgr inatumia upana wa reli kama huu wa reli ya mkoloni..?

Inamaana hilo locomotive la diesel ndio litoke dar mpaka dodoma kwa masaa mawili na nusu huku linavuta mzigo...?

Inamaana viongozi mmedanganya umma kuhusu sgr.....semeni mnajenga reli ya kizamani katika muonekano mpya na njia mpya....
 
Acha kujiabisha kaka, tulishavuka huko uliko ni bora ukatafuta uzi unaoendana na wewe.
 
Usimlaumu. Kwani si kweli serikali yetu imeshaanza kutumia vichwa hivyo? Waswahili tunasema kama huwezi kusoma hata picha huoni? Sasa reli ya SGR ikimalizika watavipeleka wapi? Such myopic decision!!!

Kichwa kibovu wewe, vichwa vya meter gauge vinatumika vipi kwenye SGR? Rudi shuleni upya.
 
Kichwa kibovu wewe, vichwa vya meter gauge vinatumika vipi kwenye SGR? Rudi shuleni upya.
Umeelewa lakini nilichoandika au umekurupuka tu? Hicho kichwa kilichoanguka kilikuwa kwenye SGR? Kichwa kibovu mwenyewe. Rudi shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…