Mpimaardhi
Senior Member
- Jun 7, 2014
- 169
- 14
Kanisa Katoliki halitambui talaka ya kuvunja ndoa iliyokwisha fungwa Kanisani....Kanisa halivunji ndoa bali ktk mazingira fulani baada ya juhudi za usuluhishi kushindikana ni kuwatenganisha (si kuvunja) na hapo hakuna kushiriki tendo na mtu mwingine labda upatane na mweza wako wa ndoa.Kifo pekee ndicho kina maliza uhai wa ndoa na hilo lilifafanuliwa pia na paroko ktk kanisa kulikopangwa kufungwa ndoa ya vicky.Nadhani Vicky awe honest tu kuwa aliingizwa chaka na hakujua.Wote ni binadamu na makosa ndio sifa yetu kuu asijali yote maisha tu....
Ningekuwa mimi nisingeongea Ngo"do! unavyoongea ndivyo unavyozidi kuwapa watu maswali na kuendelea kusema wenyewe tulishasahau , tupo kwa Komba sasa unaturudisha nyuma lol!Mwanamke Tulia
Nilikuwa sijui, kumbe had mkipeana talaka bado mnakuwa mmetengana?? Aiseeh hii noma sana
msimamo wa kanisa katoliki hautambui talaka kwa namna yoyote ile, kama una divorce ya mahakamani labda ukafunge ndoa dhehebu lingine au serikalini
msimamo wa kanisa katoliki una make sense kwamba mke na mume msichukulie agano la ndoa takatifu ni sawa na mchezo ea kuigiza.
msimamo wa kanisa katoliki hautambui talaka kwa namna yoyote ile, kama una divorce ya mahakamani labda ukafunge ndoa dhehebu lingine au serikalini
msimamo wa kanisa katoliki una make sense
kwamba mke na mume msichukulie agano la ndoa takatifu ni sawa na mchezo ea kuigiza.
Teh teh... Mtoto wa kahtaan upo? Naona baba yako muislamu wewe huo ukatoliki umeupata wapi!
Vicky mama kama upo hapa jamiiforum ni-pm tuanze ukurasa mpya,huyo aliyekuwa mchumba achana naye.Hautajutia uamuzi wako.Karibu tuponde maisha
Mmmmh nahisi bado Mbunge Vicky anaumwa wampime vizuri, Yani Ndoa ifungwe kanisani wakaachane mahakamani nawewe ukubali useme walipeana taraka????Uyo bado mume wa mtu hadi mkewe afe na si mahakama kuvunja, Nakushauri Tafuta wako dada Mbunge!!
huyo aliyekuwa mchumba wangu? du hii sentensi inamaana gani? kwani sasa sio mchumba wake?