Vicky Kamata afunguka kuhusu ndoa yake

Vicky Kamata afunguka kuhusu ndoa yake

Dada Vicky kwani lazima ndoa?jamaa alitaka kula heal ya ubunge tu hakuna cha ndoa
 
Labda lara1 atakuja na habari zenye uhakika! Tuvute subira.
 
Kanisa Katoliki halitambui talaka ya kuvunja ndoa iliyokwisha fungwa Kanisani....Kanisa halivunji ndoa bali ktk mazingira fulani baada ya juhudi za usuluhishi kushindikana ni kuwatenganisha (si kuvunja) na hapo hakuna kushiriki tendo na mtu mwingine labda upatane na mweza wako wa ndoa.Kifo pekee ndicho kina maliza uhai wa ndoa na hilo lilifafanuliwa pia na paroko ktk kanisa kulikopangwa kufungwa ndoa ya vicky.Nadhani Vicky awe honest tu kuwa aliingizwa chaka na hakujua.Wote ni binadamu na makosa ndio sifa yetu kuu asijali yote maisha tu....

Nilikuwa sijui, kumbe had mkipeana talaka bado mnakuwa mmetengana?? Aiseeh hii noma sana
 
Vicky mama kama upo hapa jamiiforum ni-pm tuanze ukurasa mpya,huyo aliyekuwa mchumba achana naye.Hautajutia uamuzi wako.Karibu tuponde maisha
 
Ningekuwa mimi nisingeongea Ngo"do! unavyoongea ndivyo unavyozidi kuwapa watu maswali na kuendelea kusema wenyewe tulishasahau , tupo kwa Komba sasa unaturudisha nyuma lol!Mwanamke Tulia



ha ha ha jamani umenchekesha et tupo kwa komba
 
Nilikuwa sijui, kumbe had mkipeana talaka bado mnakuwa mmetengana?? Aiseeh hii noma sana

msimamo wa kanisa katoliki hautambui talaka kwa namna yoyote ile, kama una divorce ya mahakamani labda ukafunge ndoa dhehebu lingine au serikalini

msimamo wa kanisa katoliki una make sense kwamba mke na mume msichukulie agano la ndoa takatifu ni sawa na mchezo ea kuigiza.
 
msimamo wa kanisa katoliki hautambui talaka kwa namna yoyote ile, kama una divorce ya mahakamani labda ukafunge ndoa dhehebu lingine au serikalini

msimamo wa kanisa katoliki una make sense kwamba mke na mume msichukulie agano la ndoa takatifu ni sawa na mchezo ea kuigiza.

Una make sense kwa kilaza km wewe unaependa kuzini!

Nyie ndio mnaofumaniwa na waume zenu halafu ukitaka kupewa talaka unajifanya Wewe MKATOLIKI ili upate kutafunwa na watu wote.

Acheni uzinifu nyie WAKATOLIKI.
Taifa letu changa linaangamia kwa UKIMWI.

Japo huna elimu lkn taifa bado linahitaji hata wale wafagia brbr.
 
msimamo wa kanisa katoliki hautambui talaka kwa namna yoyote ile, kama una divorce ya mahakamani labda ukafunge ndoa dhehebu lingine au serikalini

msimamo wa kanisa katoliki una make sense
kwamba mke na mume msichukulie agano la ndoa takatifu ni sawa na mchezo ea kuigiza.

Teh teh... Mtoto wa kahtaan upo? Naona baba yako muislamu wewe huo ukatoliki umeupata wapi!
 
Teh teh... Mtoto wa kahtaan upo? Naona baba yako muislamu wewe huo ukatoliki umeupata wapi!

Ameutoa kwa mamie! Japo kuwa nimeshamsilimisha lkn huyu mwana mtoka pabaya kuilinda ndoa yake ya 9 imebidi arudi kwenye ukatoliki wa kuabudu sanamu la mzungu!

Nyambaaaf kabisa.
 
Ule usemi......"kupenda ni upofu"....ulitimia katika hii relation......
 
Mmmmh nahisi bado Mbunge Vicky anaumwa wampime vizuri, Yani Ndoa ifungwe kanisani wakaachane mahakamani nawewe ukubali useme walipeana taraka????Uyo bado mume wa mtu hadi mkewe afe na si mahakama kuvunja, Nakushauri Tafuta wako dada Mbunge!!

HAPA NDIPO NAPOMSHANGAA VICKY?
unajua walizoeea kubebwa na rushwarushwa sasa padri/mchungaji hakukubali huu upuuzi.
 
huyo aliyekuwa mchumba wangu? du hii sentensi inamaana gani? kwani sasa sio mchumba wake?

Kwa Maelezo yake hata mie statement hiyo imeniacha gizani. Maana kasema ndoa haikufungwa kwa sababu aliugua saa kadhaa kabla ya harusi. Kama hiyo ndio premise basi huyo "mchumba" hatakiwi kuwa referred to as " aliyekuwa mchumba" otherwise uchumba umefika mwisho.
Na kama umefika mwisho je ni sababu ya kuugua saa kadhaa kabla ya ndoa? Au kuna zaidi? (From the horse mouth), maana wambeya tayari wanasema jamaa ni tapeli.
 
sitaki kuamini kama ni maneno ya mbunge haya, kulikuwa na umuhimu gani kwenda tena kwenye media? ungepiga kimya tu mambo yenyewe ni binafsi, unazidi kutupa sababu ya kuacha kuwaza ya maana tunakaa tunafuatilia hii movie au unatafuta umaarufu zaidi??
 
Sashay 14:29 Today
sitaki kuamini kama ni maneno ya mbunge haya, kulikuwa na umuhimu gani kwenda tena kwenye media? ungepiga kimya tu mambo yenyewe ni binafsi, unazidi kutupa sababu ya kuacha kuwaza ya maana tunakaa tunafuatilia hii movie au unatafuta umaarufu zaidi??-
Ni frustration tu,was supposed to remain cool althrough.
 
Back
Top Bottom