Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

Tatizo makanisa njaa(kanjanja) yatazidi mchanganya zaidi, zaidi ya yote yatamfilisi kila kitu....

Hapo naonaanatafuta jinsi ya kufunga ndoa...Maana hayo makanisa hata kichaa wanaweza ruhusu kufunga ndoa mradi account ya mchungaji ineemeke...
 
Hongera sana kumgeukia Yesu Kristo wa Nazarethi tuko jeshi kubwa.

hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya.

Amekuambia alikuwa hayupo ndani ya Kristo....??

Sema anafuta gia ya kufunga ndoa kwenye hayo makanisa ya vichochoroni(makanisa pesa)
 
Wakamuwekea na nguo maalumu ili asichafuke....Jiulize kama kuna muumini wa kawaida alishawahi ombewa hivyo..

Njaa mbaya sana...
 
Ni vyema kama ameamua hivyo... ajitahidi asirudi nyuma
 
kuna msela kakunja sura huyo...ila kama vp aje nimuoe...mbona mtoto analipa sana
 
Amekuambia alikuwa hayupo ndani ya Kristo....??

Sema anafuta gia ya kufunga ndoa kwenye hayo makanisa ya vichochoroni(makanisa pesa)

haujui hayo makanisa ya vichochoroni yako strict kuliko hayo ya main road ambayo hata ukienda na mwanamume mwenzako wanakufungisha ndoa tu, ukimpeleka mwanao kutumikia wanamfanya kitu mbaya!:angry:
 
Kama kaamua kuolewa aache kutmbesha hiyo ndo only solution....

Uko sawa, aache kugawa hovyo papuchi. Hata hivyo watu wanaogopa kufikwa na majanga kama ya babu Seya maana vigogo wamemgegeda sana tu.
 
Uko sawa, aache kugawa hovyo papuchi. Hata hivyo watu wanaogopa kufikwa na majanga kama ya babu Seya maana vigogo wamemgegeda sana tu.
Story inapikwa weee inakaangwaa weee eti bwana tapeli
wakati msg zake zilifumwa tena siku chache kabla ya ndoa
uuuhhh nisijesutwa mie
 
Jiachie tu mamaa usiogope ntakulinda. Lete data hizo.
Huyo hakukimbiwa wala kutapeliwa
bwana harusi alipewa meseji za mwanamke muda mchache kabla ya ndoa
msg zenyewe alikuwa anachat na mheshmiwa fulani jina kapuni
akimuahidi hata kama anaolewa uchi atampa tu
hata ningekuwa ndo mie bwana harusi ningechapa lapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…