Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

mh!..hizi zingine za kuchongwa, simu za jamaa ziko configured vizuri sana conversation zote za kandokando zinaingia flash, au siku hiyo alijisahau? eh, ngoja nijiondoe zangu mie nilikuwa napita tu!

kilichomsibu muheshmiwa ndo hicho na walopeleka umbea ni waheshmiwa wenzie....ukiamini poa usipoamini poa
 
ishakula kwake hyooo
jumba bovu nani akubali..?!!
wakishaharibu wanajifanya wapendwa...!!

hapo chacha wakati wa kuponda raha na kula ujana hawajui kama mungu yupo
ajirekebishe tu kama anataka ndoa amaanishe kuolewa
na aache kuvua vua kyupi kwa watu
 
hapo chacha wakati wa kuponda raha na kula ujana hawajui kama mungu yupo
ajirekebishe tu kama anataka ndoa amaanishe kuolewa
na aache kuvua vua kyupi kwa watu

we unafikiri kuolewa ni kutovua chupi? watu wanabana miguu na hawaolewi, umri unakwenda wanaanza kutafuta mwanamume hata wa kumzalisha haonekani, mwingine anaachia miguu kwa raha zake na kila mwanamume anataka kutangaza ndoa!
 
kwake yeye hicho cha kuvua kyupi ndo kimepeperusha ndoa yake, hivo aachane nacho....
 
hongera Mh!!!! upo ushindi ndani ya jina la Yesu. mkriii yeye naye atazod kunyosha mapito yako.
 
hapo chacha wakati wa kuponda raha na kula ujana hawajui kama mungu yupo
ajirekebishe tu kama anataka ndoa amaanishe kuolewa
na aache kuvua vua kyupi kwa watu

ataishia kucheza kwaito na kidaka maua tu kwa ndoa za wenzao
 
kilichomsibu muheshmiwa ndo hicho na walopeleka umbea ni waheshmiwa wenzie....ukiamini poa usipoamini poa

Haswaaaa

Kwanza ww haupo hapa kuaminisha watu.

Kwanza uneona wimbo wake mpya
Unapigw sana TBC

Moyo wa mtu cjui huwez jua
Cjui Usimwamini mtu....una maneno km hayo......
 
wanapenda watu maarufu ndo yanayowakuta hayo mtatumika sana kama hamtabadili fikra zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…