Vicky Kamata ajisalimisha kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa iliyochafuka

Haswaaaa

Kwanza ww haupo hapa kuaminisha watu.


Kwanza uneona wimbo wake mpya
Unapigw sana TBC

Moyo wa mtu cjui huwez jua
Cjui Usimwamini mtu....una maneno km hayo......

hata sijaucheki, huwa sivutiwi kabisa na uimbaji wake....he he he atatoa na album
ajilaumu yeye na hilo buzi lake
 
Atakuwa amejua CV yake ya uchafu wa mahusiano na madume mbalimbali maarufu.

Kampeni zimeshanza... Anyways its okay, wabongo hatunaga kumbukumbu so by next year tushasahau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…