Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Duuuh aisee laana ya mama mbaya sana
 

Ujimbe sio kwa jiwe; ni kwa wanaoishi ili waikanyage dunia ya Mwenyenzi Mungu kwa unyenyekevu. Jiwe anatumiwa kama mfano ulioshuhudiwa na wengi kuwakumbusha walio hai wanaotaka kuendeleza matendo ya aina yake wajifikirie vizuri.

Wengi wanaotendea ukatili binadamu wenzao husahau kuwa hata wao si “invincible”. Kuna siku isiyoyabirika, mkono wa mauti utawafikia. Aidha, ukatili hauna monopoly. Tusipojifunza kupitia historia, tutakuwa kwenye hatari ya kurudia makosa yaleyale.
 
niambie mwanasiasa yeyote wa upinzani ambaye siyo mnafiki
Lisu, Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa, na wengine wengi.

Taja hata mkoja huko lumumba ukianzia na maushungi uone jinsi tutakavyoshusha data za unafiki wake
 
Mnafki sana huyu.Si aliwahi hadi kuimba bungeni wimbo wa kumsifu Magufuli. Kipindi anatafuta kura za maoni Kibamba kwenye poster zake si alikuwa anamsifia Magufuli ?.

Si ndio unafiki anaousema sasa! Means hata yeye alikuwa mnafiki, yupo kwenye hilo kundi alilolitaja!
 
Na asing'ang'ane huko aliko sababu huko aliko ndiko maovu yanakopikwa,sasa akiendelea kubaki huko hata aongee nini wenye akili hawawezi kumuelewa

Na ndio maana tunaambiwa TOBA ya kweli ni pale unapoona umefanya kosa na ukakubali kua ni kosa na ukaomba msamaha na ukaacha kuendelea nalo

Huko aliko bado kunanuka uovu sasa ili tumuelewe anatakiwa aongee akiwa nje ya huko ASIENDEKEZE NJAA
 
Sasa ilikuwaje? Maana alikuwa mjamzito,au jamaa alipima kimya kimya alivyoona yuko salama ikabidi akimbie
Huyo nakwambia anatokea Bukungu Nyang'hwale geita kwa babu yake wajomba zake ni akina Ndikilo mkuu wa mkoa wa pwani wa zamani! Mjinga sana huyu!
 
Mafanikio yake mengi amepayapata kwa kuvua chupi ndio maana mwanaume kijana mwenzie alimkimbia kumuoa siku ya sendoff.

Akiwa mwanamuziki aliwahi kuingia kwenye mgogoro na aliyekuwa mtangazaji amina chifupa baada ya kuanza kutoka kimapenzi na mume wa amina bwana mpakanjia ambaye wakati huo alikuwa promota mkubwa.

Ugomvi ulivyozidi Kikwete akaamua kumtupia BOT wakati huo alikuwa kamaliza chuo cha nyegezi mwanza ambacho kwa sasa kinaitwa SAUT ambako huko BOT ndio alikutana na huyo bwana likwelile.
 
Katoka mbali sana hadi kutishia kuvunja ndoa ya Amina Chifupa. Imagine Mpaka njia kapita nae. Ndo sasa akaja kujituliza kwa Jakaya. Akapelekwa London kusoma,alivyo kilaza huko akafeli ndo karudi Tanzania kupewa kazi BOT na JK.
Du umefungua kitabu chote😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…