Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

Ehh Vicky tuache shogaa
Msilete usawa kwenye mahusiano
Haipo hio

Hio usawa ibaki huko maofisi sijui biashara nk
Huku tutaomba hela na kuhudumiwa hadi Yesu atakaporudi
Royal tour na mahusiano wapi na wapi? Huyu nae kaongea pumba mambo ambayo hayana uhusiano...
Yeye mbona bado kashikilia Mali za mwanaume na zaidi anawqfanyia vituko Watoto?
huyu hatofautiani na wale wa forever living. anasahau alivokuwaga mpk akadaka mume wa mtu na kufikia hapo alipo ni mali za kurithi ndo zinambeba now tena anadanga kwa styl hiyo ili apate wa kumshika mkono baada ya yule kufariki 😏 akapumzike huko km kyln.
 
Tatizo la wanawake wetu yaani mnapanga kutoka Out lakini Amini kila kitu juu yako kula kunya kulalaa...!!??

Alafu wanavyo jua kuzuga na sim na baby baby nyingiii...Asubuhi utaskia dear... Mi naondoka...!? naomba nauli tena...??

Na ndo maana wengi wamedumaa akili.
Akili yao huwendeshwa kupitia kistobe chao.
 
Pambav zake
 
Labda umeongea ukweli..so royal tour inahusikaje hapo?
 
Labda umeongea ukweli..so royal tour inahusikaje hapo?
Royal Tuour huwenda ikawa ni vile jinsi Mama alivyo fanya maamuzi kama mwanamke na akasimamia vyema bila kujali.Lakini wanawake wetu kuamua na kufanya bila kutembeza kinembe baadhi ya kona basi hakuna kituu
 
Huyu ameshadanga viongozi mpaka akapewa ubunge na yule mzee wetu hebu akae kimya shenzi huyu
 
Hio taasisi na mahusiano gani na royo tua,vita ya ukraine, sisi kua kisiwa, unyanyasaji wa kijinsia na wanawake kujitegemea?
 
Laana hii utaliina mahusiano wapi na wapi!!!
Hivi ameteka mali za familia ya watu kwa kusingizia ndoa na kufukuza watoto wa familia waliokuwa kwao. Aache ushenzi ni mfano mbaya kwa wasichana. Angekuwa na zake hasingefukuza watoto aliowakuta. Wanawake kama hawa wanaua wanauke kabisa wateke mali zote za familia.
 
Shule hamna, angekuwa na shule angalau, kuna teuzi hata kama una watu wa kukupendekeza kama huna shule haiwezekani, hao viti maalum ndio chaka lao.
Anaweza tumia nguvu ya papuchi na kupata uteuzi.
Kwani nani anayeulizaga kwanini fulani kateuliwa kwa nafasi fulani?
Mtu akishateuliwa basi ni yeye na aliyemteua ndio wanamaliza na kwa evaluation yake.
Ingekuwa watu wanateuliwa kwa kuomba na kutuma CV na vyeti wengi wangekuwa nje ya mfumo.
 
Sasa yeye anayewadhurumu mali watoto wa Marehemu Likwelile anaona ni sawa kufanya hivyo?

Yani anavyoongea hapo utadhani ni mtu kweli yani, Wabongo wanauweza unafiki.
Mnafiki haswaa
Kumbe na ye km klyn tu?[emoji848]
 
Duh,kumbe!?[emoji848]
 
Hivi Royo tuwa imefanywa kwasababu rais ni mwanamke?
 
Kimbele mbele kisichokuwana maana. Wewe ni msemaji wa rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…