Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

Royal tour na mahusiano wapi na wapi? Huyu nae kaongea pumba mambo ambayo hayana uhusiano...
Nilidhani labda ni mimi nimeelewa vibaya, sioni kabisa uhusiano wowote kati ya Filamu ya loyal tour na mambo ya wanawake. Huyo Vicky naona analazimisha kitu ili aonekane na kusikika, ni tabia fulani za kichawa.
 
Likwelile alifuatwa wa nini,mapenzi au hela?
 
Ehh Vicky tuache shogaa
Msilete usawa kwenye mahusiano
Haipo hio

Hio usawa ibaki huko maofisi sijui biashara nk
Huku tutaomba hela na kuhudumiwa hadi Yesu atakaporudi
Hizi harakati ndio chanzo cha ndoa za leo kutokudumu kwa kiwango kikubwa. Mwanaume ameumbwa kama mlinzi na mhudumiaji wa familia. Mama ni msaidizi na mlezi wa familia.

Aliyetengeneza ndoa ndio design yake hiyo. Sasa leta wanawake na "maendeleo" ndoani ili uibadili ndoa iwe ndoano.

Ni kama kujaza dizeli gari ya petroli halafu uone kama itatembea
 
Rais kaumiza kichwa katoa bilioni 100 kama ruzuku kwenye mafuta.
 
Vicky kamwaga uharo mtupu!
 
Mbaya sana akawafungia nje ya geti wasiingie na kubadili kila kitu. Walirekodi mlinzi hafungui kakatazwa na Vicky. Mbaya sana anafukuza watoto amewakita ni yatima anaweka wake.
Jamani!
Kwanini lkn?
 
Na wafanye hvyo tumechoka kuombwa ombwa kilawakati
 
Mbaya sana akawafungia nje ya geti wasiingie na kubadili kila kitu. Walirekodi mlinzi hafungui kakatazwa na Vicky. Mbaya sana anafukuza watoto amewakita ni yatima anaweka wake.
Hivi hao watoto wanakosa nguvu kutumia za kisheria,au wamelelewa ki broiler

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…