Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

Huyu mwanamke ni zaidi ya mchawi hawezi kufanikiwa, ana roho mbaya sana zaidi ya malaika wa kuzimu.

Wanaume tuwe makini sana unapotafuta life partner usizuzuke na mitako haina issue yoyote kwenye maisha ya ndoa.
We unaongea tu, kama Mungu mwenyewe alimuacha Delila amgalagaze Samson sembuse sie wa kwa Mtogole...Mungu alishanawa mikono.
 
Huyu Vicky asimfanye Mh Rais aonekane mwanaharakati kama yeye. Mh Rais ni mwanamke wa Kiislamu anayetambua na kuheshimu taratibu zote za dini hivyo Vicky asimuhusishe au kuhusisha chochote cha Mh Rais na mambo ya hovyo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hao watoto wanakosa nguvu kutumia za kisheria,au wamelelewa ki broiler

Ova

Labda watasaidiwa au tayari, ila huyu mwanamke Instagram walisema alirusha miziki kuwadhihaki balaa kwa kuimba ndani ya nyumba yao.
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Depal njoo uone mnaparwa huku, mumparue...
 
Chawa mwingine
 
Kwa hiyo Royal Tour haikundaliwa kwa ajili ya kutangaza utalii bali kuwezesha wanawake? Ukimuona mtu anotaja jenga kwa kila jambo tena kwa kuungaunga kama alivyounga Vicky Kamata, hana la maana.
 
Haya masuala ya haki sawa yana faida na hasara zake. Haki sawa inaharibu sana thamani ya mwanamke. Hadi nchi zilizoendelea wanawake wanategemea kutoboa kwa rushwa ya ngono. Hili lipo katika ofisi nyingi sana, hii agenda ya haki sawa ndio inatumika kujaza vimada wa boss maofisini. Kibaya zaidi wasichana wadogo wanaamini kuwa hawa ni strong woman kumbe ni vimada wa mtu. Kuna siku nilikuwa youtube niliona mahojiano ya mwanamama mmoja ana kampuni kubwa ya media na anazalisha vipaji. Alikuwa anasema anamkumbuka tajiri mmoja Mtanzania aliefia U.A.E, akasema yule tajiri alimpa maisha mazuri sana. Na hapo alikuwa hajafunga nae ndoa yaani mtu mzima kabisa anajisifia kuwa kimada. Imekuwa kawaida leo hii kukuta mwanamke anaaacha ndoa anakwenda kuwa kimada wa mume wa mtu. Haya mambo tunachukulia poa lakini sio siri jamii inaangamia vibaya sana.
 
Huyu mwanamke ni zaidi ya mchawi hawezi kufanikiwa, ana roho mbaya sana zaidi ya malaika wa kuzimu.

Wanaume tuwe makini sana unapotafuta life partner usizuzuke na mitako haina issue yoyote kwenye maisha ya ndoa.
duh mitako tena hiyo kali, kwakweli naanza kuamini yule aliyesema the bigger the ass the lower the IQ, yaani kaenda Mahakamani kudanganya ili apate mali za Bilioni 4, ukitaka kujua njia ya muongo ni fupi angalia kafeki hadi cheti cha ndoa eti kaolewa 2016 wakati mke wa likwelile kafa 2020 yaani yule ni Shaytwany kabisa. Na ukitaka kujua hela hzitoshi kakaa ubunge vipindi viwili hiyo ni viiunua mgongo viwili yaani bilioni moja, hapo hujaweka mishahara miaka yote na miposho, Juzi kati wamemrudisha seerikalini tena kama mtumishi wa umma , yani serously mtu una bilioni unaenda tena kuajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…