dalali, mbona unanitaka umbea nimeona mshaanza kututisha hapa, ila sisi weekend ijayo kuna kikao na watu wa BOT na wengine tutauliza ilo swali.bashukuru wachangiaji wote ila nimempenda sana najma na thread yako unaweza kutupa ukweli zaidi ni chuo gani kiko wapi maana naona kuna contradiction hapa sasa , tafadhali
wewe la kwako vipi?
la tosha kukupatia kazi bot??????
kama ni yes,nione pm.....
kuna kazi bora zaidi..........
Mie nitajaribu ajira kwa kina Lundengaπ
Mie nitajaribu ajira kwa kina Lundengaπ
Itabidi tumtatafute Mzee Kifimbo yule wa Sani; Halafu watu wanapiga kelele hapa Oooh tungekuwa tunafundisha kwa kiswahili Ooooh watoto wangeelewa. Hata kiswahili ni kigumu pia!
Huenda wewe ni mtu wa mwambao manake hizo uko, uyu zina-sound Umwambao mwabao. Nitakuazima kamusi ya kiswahili sanifu
Wakunyumba Masanja!
Hii ni kali, sidhani kama hizi habari tunazo soma hapa dada yetu angeweza kula nondo za London School of Economics......alikuwa Southampton jina la chuo sina uhakika. Siwezi shangaa akiteuliwa na Muungwana kuwa balozi wetu UK.
VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA
Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW kuwa vikky alifeli uko SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK. JE ni KWELI NA NI KWELI KASUBMITH CHETI FEKI BOT. sasa kama dada vikky unavimeo na kunawatu uliosoma nao wanajuwa sasa yanini kujitowa magazetini kila siku mama. EBU SOUTHAMPTON SOLENT PRODUCT TUPENI DATA tumechoka kubebana kila siku kawasababu ya nanii kuna ndugu yangu alionekana ni forgel alikosa kazi BOT why vikky she is still in.
Habari zaidi ikoOhhhhh hold on a minute....
Kuna Mama mmoja mle anaitwa MAMA Zubeda, alipelekwa IFM kusoma ...yes you bet, aka 'DISCO' mwaka wa kwanza.
Baada ya hapo wahemishimiwa wakapelekwa Uingereza kusoma chuo kisichatambulika... .. (Degree miaka miwili), hata huko khabari za uhakika ni kuwa mwaka wa kwanza tu alishindwa maana alikuwa anafanyiwa courseworks na jamaa yake wa Ki Ghana , ngoma ilipokuwa nzito akaamua kukaa huko miaka miwili akibeba box(PAY SLIPS ZIPO), akatengeneza cheti cha kununua (USHAHIDI UPO) akarudi, ....Guess what? naye kapewa ukurungezi...btw hakuna chochote anachokijua cha IT, halafu mnategemea mishahara hewa iwahi on time na watumishi hewa wasiwepo kwenye payroll inawezekana?
watu wa wizara elimu stay tuned...
Mamangu ningekushauri uachane na ajira ya Lundenga kama una kazi baki na hiyohiyo huko kwingine utakimbizwa machakamchaka!Mie nitajaribu ajira kwa kina Lundengaπ
Jamni sina mshepu wa kuajiriwa na BOT
labda nitumie bidhaa za kichina..π
Kama unataka kula inabidi ukubaki na wewe kuliwa japo kidogo tehee!Hili nalo Neno
Oh ndugu yangu Dalali, kuwa makini yasije yakawa yale ya Ndugus Babu Seya na Amatus Liyumba!! Siri nzito!!