Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

bashukuru wachangiaji wote ila nimempenda sana najma na thread yako unaweza kutupa ukweli zaidi ni chuo gani kiko wapi maana naona kuna contradiction hapa sasa , tafadhali
 
Wanawake na maendeleo lelele eh wanawake na maendeleo katika one step mbele,three steps nyuma,hayo ndio maendeleo kuwa na vyeti feki,hata ununue vyeti kama ni kihiyo ni kihiyo tu,hata ufanyeje bado unakuwa kihiyo tu,hao ndio tunawategemea kuwa wabunge na mawaziri vijana wetu ,lakini sishangai kama viongozi wengi wana digrii feki na wanapeta hayo ndio matunda yake,sijui mpaka akina Msemakweli watoe vitabu ndio tuzinduke,hapa tuna vyombo au tasisi ambazo zingeweza kuzuia huo uozo lakini kwa sababu wote wamefika hapo walipo kwa mambo ya kufoji basi hakuna kitakacoendelea,loo ngoja nipige free style ya Wanawake na maendeleo lalalalalaaaah
 
bashukuru wachangiaji wote ila nimempenda sana najma na thread yako unaweza kutupa ukweli zaidi ni chuo gani kiko wapi maana naona kuna contradiction hapa sasa , tafadhali
dalali, mbona unanitaka umbea nimeona mshaanza kututisha hapa, ila sisi weekend ijayo kuna kikao na watu wa BOT na wengine tutauliza ilo swali.

unajuwa mwenye kufaulu mpe ongera na ukifeli achia kitin icho vikky alisona SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK sio London na kama London basi nacho magumashi jamani kama mnamaswali sinimewapa wesite angalieni mtanona kila kitu hata mkitakamuulize mtaweza. na si inawezekana kuhakiki cheti kwa muajili katika chuo alichosoma sasa wanashindwa nini hao wanabebana. waulizeni waajili wake ila ni kweli hana cheti cha masters sijui anakingine na wazungu wakijuwa aisee wanamfunga anapunguza hadhi ya chuo maana wote ni maproduct nadhani ndio maana kashindwa hii sio ST AUGUSTINO MAKSI MEZANI hapa msuli tuu . dalali youe wellcome
 
Mie nitajaribu ajira kwa kina Lundenga🙄

mbona unafit sana, na huo ndio mwanzo wa kuonekana na mwisho wa siku mkuu atakupeleka sokoni UK kununua Phd na unarudi pale BOT, kama bonge la boc
 
Mie nitajaribu ajira kwa kina Lundenga🙄

Hee Maria naona usha mchoka shemejo,uende kwa akina Hashim,utageuzwa,utagaragazwa na wakisha kuchoka watakutupilia mbali kwa wale wazee wa British Legion
 
Jamni sina mshepu wa kuajiriwa na BOT
labda nitumie bidhaa za kichina..😉
 
Itabidi tumtatafute Mzee Kifimbo yule wa Sani; Halafu watu wanapiga kelele hapa Oooh tungekuwa tunafundisha kwa kiswahili Ooooh watoto wangeelewa. Hata kiswahili ni kigumu pia!
Huenda wewe ni mtu wa mwambao manake hizo uko, uyu zina-sound Umwambao mwabao. Nitakuazima kamusi ya kiswahili sanifu


Hapo nilipopigilia mstari.......Jamani mlishaambiwa " kama unaishi kwenye nyumba ya vioo..unashauriwa usipende kurusha mawe" Nina imani muungwana umenipata.
 
Wakunyumba Masanja!
Hii ni kali, sidhani kama hizi habari tunazo soma hapa dada yetu angeweza kula nondo za London School of Economics......alikuwa Southampton jina la chuo sina uhakika. Siwezi shangaa akiteuliwa na Muungwana kuwa balozi wetu UK.


Port,

Si unajua sisi huku tunadanganywa na walio huko duniani?

Mtu akija hapa atakwambia nilikuwa nasoma UK! ukiuliza zaidi ya hapo..utaambiwa "sasa wewe UK unaijua? hata nikikwambia chuo huwezi kukijua"...Baada ya hapo inabidi ukae kimya....
 
VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW kuwa vikky alifeli uko SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK. JE ni KWELI NA NI KWELI KASUBMITH CHETI FEKI BOT. sasa kama dada vikky unavimeo na kunawatu uliosoma nao wanajuwa sasa yanini kujitowa magazetini kila siku mama. EBU SOUTHAMPTON SOLENT PRODUCT TUPENI DATA tumechoka kubebana kila siku kawasababu ya nanii kuna ndugu yangu alionekana ni forgel alikosa kazi BOT why vikky she is still in.

Hayo mambo yako mengi serikalini kuliko tunavyojua.

Ohhhhh hold on a minute....

Kuna Mama mmoja mle anaitwa MAMA Zubeda, alipelekwa IFM kusoma ...yes you bet, aka 'DISCO' mwaka wa kwanza.


Baada ya hapo wahemishimiwa wakapelekwa Uingereza kusoma chuo kisichatambulika... .. (Degree miaka miwili), hata huko khabari za uhakika ni kuwa mwaka wa kwanza tu alishindwa maana alikuwa anafanyiwa courseworks na jamaa yake wa Ki Ghana , ngoma ilipokuwa nzito akaamua kukaa huko miaka miwili akibeba box(PAY SLIPS ZIPO), akatengeneza cheti cha kununua (USHAHIDI UPO) akarudi, ....Guess what? naye kapewa ukurungezi...btw hakuna chochote anachokijua cha IT, halafu mnategemea mishahara hewa iwahi on time na watumishi hewa wasiwepo kwenye payroll inawezekana?

watu wa wizara elimu stay tuned...
Habari zaidi iko
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/53042-ufisadi-uliokithiri-hazina.html
 
Alisoma SAUT degree yake ya kwanza badae tulisikia yuko BOT ila hakukaa sana akaenda UK kusoma sikujua kama alisharudi nchini. Ila Mkubwa me bado umri wangu ni mdogo nisingependa kufa hivi karibuni naomba nisiseme mengi juu ya huyu mdada manake ni mali ya mkubwa. Kuhusu BOT, kama ni mali ya mkubwa hakuna lisilowezekana!
 
Oh ndugu yangu Dalali, kuwa makini yasije yakawa yale ya Ndugus Babu Seya na Amatus Liyumba!! Siri nzito!!

Nilitaka ku-comment, kwa mtaji huu. basi tufunge sredi. Mhhh.......kazi ipo
 
wengine wanasema ni CHAKULA YA MZEE😀
 
Na bado mwakani atakuwa waziri flaniflani sijui wa wanawakeee...........
 
Back
Top Bottom