Mhh acha tu anaweza jaza mabasi mawili nadhani mie ninao wajua wapo 4
kaazi kwelikweli...nimeanza kupaogopa JF kama mnaweza kujaza page zaidi ya kumi kwa habari ya kufikirika basi tutaona mengi..teh..teh..teh..huko southampton si wanaishi watz wengi tu? mbona comments za m2 mmoja tu ?tuwatafute wengine huko ili kuwe na impartiallity!!! otherwise tumuone vicky kama mama wa watoto ambao wanahitaji privacy ya mama yao iwe respected..siku mkijua the otherside of the same story mtatafuta namna ya ku-delete hizi comments zenu..jina kukosekana kwenye list ya chuo ina involve factors nyingi pengine school fees hakumaliza au hata unfinished assignment ambayo ukimaliza wanakupa cheti chako na jina lako linaweza kutokea next graduation...ni hayo mafupi....teh..teh..teh
Mhh acha tu anaweza jaza mabasi mawili nadhani mie ninao wajua wapo 4
Nenda hata ukapige hodi kule huh!MImi nitakuwa na mtazamo tofauti na waliochangia;
kuwa vikky sio kama hana akili sio kweli kila mtu anazo ni kujituma tuu. Mimi naona vikky kamsahahu sana mungu kwa matendo yake , na mungu kaamua kumuonyesha kuwa ana mkono mrefu kokote wafika.
JE? Vikky
-unakumbuka wewe ndio chanzo cha kuvunjika ndoa ya MB wetu na kusababisha stress za kifo( kwa ilo mungu alikuweka pending)
- unajuwa kuwa ujali watu na haswa wasio na uwezo( pia alikuweka pending)
- unakumbuka ulivyomsaliti kijana ambaye alichangia asilimia nyingi kusoma kwako(alikuweka pending)
- unakumbuka uliachanisha ndoa , kwa yule mume ulitangaza anakuowa(alikuweka pending)
-unakumbuka ulitaka usababishe kifo cha msichana mmoja kwa undumilakuwili uliomfanyia (alikuweka pending)
-wajuwa kuwa unamtesa mke wa MH(amekuweka pending)
Kwaiyo sala za watu wote hao ndio mungu kawajibu, vikky inapaswa ujirekebishe na umrudie mungu wako, dunia ni mapito usilinge nayo mama. kama ushauri chukuwa na kama majungu acha, ila utakumbuka one days
Wawezekana alikuwa anajirusha sana balaya ya kusoma ndio maana kafeli kama kwenye picha hii
kazaliwa 1978 kaanza form i mwaka 1990, ina maana alikuwa na miaka 12!!
Kazaliwa 1978 kaanza form I mwaka 1990, ina maana alikuwa na miaka 12!!