Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

Na yule RPC ambaye inasadikika alizaa naye ametupwa wapi? Duuuh, kweli wanawake na maendeleo!!
 
Mhh acha tu anaweza jaza mabasi mawili nadhani mie ninao wajua wapo 4

hahahaha, Maria Roza unachana kabisa. Duh simchezo!!kwa mtaji huu naona huyu mdada amekaa kimaslahi zaidi..hawa ndio kama aliokuwa anawaongelea WOS nini? tegemezi vyuoni na maofisi pia.lol
 
kaazi kwelikweli...nimeanza kupaogopa JF kama mnaweza kujaza page zaidi ya kumi kwa habari ya kufikirika basi tutaona mengi..teh..teh..teh..huko southampton si wanaishi watz wengi tu? mbona comments za m2 mmoja tu ?tuwatafute wengine huko ili kuwe na impartiallity!!! otherwise tumuone vicky kama mama wa watoto ambao wanahitaji privacy ya mama yao iwe respected..siku mkijua the otherside of the same story mtatafuta namna ya ku-delete hizi comments zenu..jina kukosekana kwenye list ya chuo ina involve factors nyingi pengine school fees hakumaliza au hata unfinished assignment ambayo ukimaliza wanakupa cheti chako na jina lako linaweza kutokea next graduation...ni hayo mafupi....teh..teh..teh
 
Nini Kisicho eleweka hapa! Ni kwamba Vicky hakushindwa kulipia karo! Assignment zote alifanya! Matokeo yametoka ame-fail! Ajabu ni kwamba amekuja na cheti. Je amefanya kama walivyofanya akina Marry, Willy, Emma, Deo, Antony, nk.nk?

No wonder nchi yetu haiendelei! Hebu fikiri Waziri/NW/M/mkoa unavyeti feki, utafikiria kueletea maendeleo nchi yako kweli! Manake imekaa ki wizi-wizi kweli! and how will you manage to live with that? Can you even look in the eyes of your wife/husband/children. Can you be assertive on issues? It is a gross embarassment! It is hypocrisy, selfish, reckless... just to name a few....You will always be inferior! Utafikiri/utasema nini mbele ya wanaume na vyeti vyako vya ku-forge
 
Mhh acha tu anaweza jaza mabasi mawili nadhani mie ninao wajua wapo 4

teheteheehh kaazi kwelikweli ... ila pamoja na yote ukweli ni kuwa totoz za mkulu ni kali balaa ... naamini Maria Roza hata hao wa-nne unaowafahamu ni wa-ukweli! ... wakina anko hashim wanafanya kazi nzuri sana .. tehtehetehhh!!
 
MImi nitakuwa na mtazamo tofauti na waliochangia;

kuwa vikky sio kama hana akili sio kweli kila mtu anazo ni kujituma tuu. Mimi naona vikky kamsahahu sana mungu kwa matendo yake , na mungu kaamua kumuonyesha kuwa ana mkono mrefu kokote wafika.

JE? Vikky

-unakumbuka wewe ndio chanzo cha kuvunjika ndoa ya MB wetu na kusababisha stress za kifo( kwa ilo mungu alikuweka pending)
- unajuwa kuwa ujali watu na haswa wasio na uwezo( pia alikuweka pending)
- unakumbuka ulivyomsaliti kijana ambaye alichangia asilimia nyingi kusoma kwako(alikuweka pending)
- unakumbuka uliachanisha ndoa , kwa yule mume ulitangaza anakuowa(alikuweka pending)
-unakumbuka ulitaka usababishe kifo cha msichana mmoja kwa undumilakuwili uliomfanyia (alikuweka pending)
-wajuwa kuwa unamtesa mke wa MH(amekuweka pending)

Kwaiyo sala za watu wote hao ndio mungu kawajibu, vikky inapaswa ujirekebishe na umrudie mungu wako, dunia ni mapito usilinge nayo mama. kama ushauri chukuwa na kama majungu acha, ila utakumbuka one days
 
Nenda hata ukapige hodi kule huh!
 
mmh, Mwehu hebu mwaga hizo data bwana mafumbo ya nini? umetuacha gizani wengine.
 
Hii ndio cv ya mbunge wa viti maalumu Vicky Kamata ambaye aliwahi kuwa public relation officer wa BOT

attachment.php
 
Attachments

  • 1425631384986.jpg
    1425631384986.jpg
    66.1 KB · Views: 1,821
Kazaliwa 1978 kaanza form I mwaka 1990, ina maana alikuwa na miaka 12!!
 
atoto njoo kam zis way kumbe viky ni wa moro sec
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom