Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

Kazaliwa 1978 kaanza form I mwaka 1990, ina maana alikuwa na miaka 12!!

Kamaliza form 4 na miaka 15! Enzi hizo ilikua haiwezekani. .miaka 15 mtu ndio anaanza form one eti yeye ndo anamaliza!..hesabu zake za kujumlisha na kutoa hajazipiga vizuri
 
Mie najua kuna Masters ya Education nk. Hiyo Masters ya Uingereza ndio masomo yapi nijuze
 
mmmh moro sec!!! mwaka gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…