kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kazaliwa 1978 kaanza form I mwaka 1990, ina maana alikuwa na miaka 12!!
Kamaliza form 4 na miaka 15! Enzi hizo ilikua haiwezekani. .miaka 15 mtu ndio anaanza form one eti yeye ndo anamaliza!..hesabu zake za kujumlisha na kutoa hajazipiga vizuri