leo niliingia mtandaoni nikakuta hilo tangazo nikajaza fom na baada ya muda walinipigia simu kunitaka nitume pesa kiasi cha sh milioni moja ili nipate milioni kumi lakini moyo wang ulisisita san nkamwomba niwatumie asubuh kesho duhhh kumbe ni matapeli asante mungu