Vicoba Saccos

Vicoba Saccos

Joined
Jan 24, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Msaada,

Kwa anaejua VICOBA SACCOS kwanza ni kweli hii SACCOS hipo na inatoa mkopo on line (kwenye mtandao) kwa mtu aliye mkoani
 
msaada,

kwa anaejua vicoba saccos kwanza ni kweli hii saccos hipo na inatoa mkopo on line (kwenye mtandao) kwa mtu aliye mkoani
leo niliingia mtandaoni nikakuta hilo tangazo nikajaza fom na baada ya muda walinipigia simu kunitaka nitume pesa kiasi cha sh milioni moja ili nipate milioni kumi lakini moyo wang ulisisita san nkamwomba niwatumie asubuh kesho duhhh kumbe ni matapeli asante mungu
 
Back
Top Bottom