Sasa unataka kushindana na mama kanituma utaweza kweli..!Wakuu,
CCM wanakaribia kukamilisha agizo la Zungu🤣🤣🤣
Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27.
Sasa imebaki kuangalia raia watasemaje, kama wapindue meza au waache waende na mrithi!
Utafikiri tumekuwa nchi ya kifalme😒
Huyu ni nani? Mtoto wa Jenesta? Wanapeana kuktw'**#$&+;?(()/"@mmmaYo zaoVictor ameshapita kuwa Mbunge. Imeisha hiyoooo.
Ni mtoto wa kwanza wa Jenister. Serikali inatoa Pole kwa familia kwa kumpa ubunge.Huyu ni nani? Mtoto wa Jenesta? Wanapeana kuktw'**#$&+;?(()/"@mmmaYo zao
Huwa nasemaga km hauko ktk mfumo wa CCM ,utabaki kuwa Ndugu mjumbe tu ,kuwapigia KURA watoto waoIlijulikana tangu mapeema kabla hata mchakato haujaanza.
Quine Huihui2 toa NenoWakuu,
CCM wanakaribia kukamilisha agizo la Zungu🤣🤣🤣
Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27.
Sasa imebaki kuangalia raia watasemaje, kama wapindue meza au waache waende na mrithi!
Utafikiri tumekuwa nchi ya kifalme😒
KweliHuwa nasemaga km hauko ktk mfumo wa CCM ,utabaki kuwa Ndugu mjumbe tu ,kuwapigia KURA watoto wao
Hujambo?Victor ameshapita kuwa Mbunge. Imeisha hiyoooo.
Sijambo.Hujambo?
Imekuwa kama desturi sasa.Ni mtoto wa kwanza wa Jenister. Serikali inatoa Pole kwa familia kwa kumpa ubunge.
Kusawazisha hali tete.