Sisi wa Msamala tunafanyaje sasa boss wangu ? Nakusikiliza ndugu yangu wa damuNi mtoto wa kwanza wa Jenister. Serikali inatoa Pole kwa familia kwa kumpa ubunge.
Kusawazisha hali tete.
Sisi wa Msamala tunafanyaje sasa boss wangu ? Nakusikiliza ndugu yangu wa damuNi mtoto wa kwanza wa Jenister. Serikali inatoa Pole kwa familia kwa kumpa ubunge.
Kusawazisha hali tete.
Mie sina jambo Mlongo vangu, uko msamala kwokiii??Sisi wa Msamala tunafanyaje sasa boss wangu ? Nakusikiliza ndugu yangu wa damu
Itabidi tuzoeeImekuwa kama desturi sasa.
Kumsamala niwukili, niviii kulonda kudasi ukuu kumbwaniiMie sina jambo Mlongo vangu, uko msamala kwokiii??
Mkuu,Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27.
Amefanikiwa
Wakuu,
CCM wanakaribia kukamilisha agizo la Zungu🤣🤣🤣
Victor Mhagama ameibuka mshindi kwenye kura za maoni katika Jimbo la Peramiho na kuwashinda wengine 27.
Sasa imebaki kuangalia raia watasemaje, kama wapindue meza au waache waende na mrithi!
Utafikiri tumekuwa nchi ya kifalme😒
Mmepigwa na kitu kizitoHongera
Tunakubali wewe ni matawi ya juu, Shaka ondoaMmepigwa na kitu kizito